Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Universal Soldier Day of Reckoning 2012 BluRay 720p DTS x264-3Li (download torrent) - TPB
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu leo nimependa tujuzane maujanja jinsi ya kufulash cm hususani aina ya nokia zile zenye uwezo mkubwa ambazo ni original sio mchina.japo zingine zinakubal ila zingine zinagoma.kwa wale...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
WanaJF nina blackberry bold imefuta application ya facebook nilikuwa na uptodate lkn ukiangalia ktk application unaiona ktk add on,nifanyeje irudi kwaida,
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Nimepita pita online nikaona simu za x touch zikanivutia. Wapi naweza kupata X Touch x403 na bei yake ni kiasi gani? Mwenye kujua anipe mwanga wadau
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJf je ninawezaje nufaikaje nikiwa na website/wapsite/blog yenye zaidi ya hits/visitors 1000 per day.... Msaada wenu please kwa walio na ujuzi wa mambo haya
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna kipindi niliichokonoa nikatoa sauti nikawa nasikiliza kwenye headphone, baadae nkashindwa kuirejesha nkafikir labda window, nka-instal new window, window 7 ndio hata nikiweka headphone hamna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Facing annoying RUNDLL error message on startup on your Windows 7? So how to fix or repair it? No panic, you will learn more below. What is a rundll error? Aundll.exe files are systems process...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau, Hope Mko poa, Natafuta Kioo cha Spare cha Laptop aina ya Toshiba Satellite, Pichani chini ndio mfano wa laptop ambao natafuta kioo chake. :sleepy:
0 Reactions
4 Replies
4K Views
hello guys, i need free internet simcard preferably airtel or voda (one which give more than 300kbps download speed). plz contact 0684 530650..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu! Nataka kununua simu moja kati ya hizi, 1.samsung chat 222 "duo" 2.nokia c2 je ipi nzuri kwa internet?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Microsoft's final copy of Windows 8 leaked online back in early August and pirates have been battling to work around Microsoft's activation technology ever since. Early attempts involved the use...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
ni external ya 500gb. Ndani ilikuwa na vitu but now nikiweka haina inachoonesha,yaani contents zake hazionekani na nikiingia properties inaonesha kuwa ina vitu kwa ndani. Tatizo lilianza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niaje wakuu. Nilinunua memory kadi 1gb kama wiki 1 hv iliyopita. Nilipoiweka kwny simu ilijubal na pia inaonyesha ina gb 1. Lakini tatizo ninapodownload file na kuliweka kwny memory kadi mara...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Is anyone having connection problems since yesterday? It has become extremely SLOW!! cjui ni mm peke yangu au ni tatizo la mtandao?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta Laptop aina ya PRO BOOK, Intel 3i, RAM 4GB, processor 2.10 GHZ, 500 HDD.......nina TZ Tsh LAKI NANE, na nipo Dar es salaam, naomba msaada wenu wakuu kama kuna mwenye nayo au ana taarifa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumia karbonn android A1 mwanzo nilikua natumia whatsapp vizuri tu jana nimeifuta sasa kila nikijaribu ku install tena inaniandikia "your content filtering level doesn't allow you to download...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu nimedownload movie pirate bay lkn haichezi na subtitles kila nikijaribu kuziweka ananidai file,,,nifanye je? wakuu msaada wenu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa watumiaji wa smartphone jamani hizi nokia asha 311 zipo hapa kwetu na vipi kuhusu bei anayejua tafdhali
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nawezaje kutumia startimes bure
0 Reactions
7 Replies
2K Views
guys tuacheni uvivu kuna problems nyingine uki search google unapata ufumbuzi fasta sio lazima kuja humu kuuliza! maana thread za misaada siku hizi ni nyingi mno tofauti na mwanzo ambapo tulikua...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom