habari za x-mass wanajukwaa? nilikuwa naomba msaada kidogo hapa,,kama kuna mtu kafika mtaa wa msimbazi karibu na round about kariakooo,,dar,atakuwa ameona simu za samsung,nokia,htc, n.k mfano...
What do JC Penney, Mitsubishi Motors and Martha Stewart Living magazine all have in common? Each has earned a spot on the list of brands that will likely disappear in 2013.
Financial news site...
Heshima kwenu wana jf, jamani mie ni mwanakjiji nisiejua kitu orignal au feki, lkn nahitaji cm nzuri yenye os ya android, sijui duka gani mwanza au dar nitapata cm hiyo nisingependa nilanguliwe...
Habari.Vlc PLayer yangu jamani inasumbua kuplay inaniandikia VLC crashed pale tuu ninapotaka kuplay Music au video lakini Kipindi cha nyuma ilikuwa Okey kabisa Nimejaribu kuitoa na kuweka tena...
Naomba msaada wapi naweza kupata smart camera yenye 1.-zoom kuanzia 14x 2. Megapixel kuanzia 14 mimi nipo dsm pia naomba na bei zake .nashukuru kwa msaada wenu
Habari zenu wakuu?naombeni msaada kwa anayefahamu,nina smart phone aina ya apple nimei format coz memory yake ilikua inasumbua cha ajabu sasa hivi nikiwasha inaweka alama ya apple tu lakini...
Tufananishe bei za Mobile Data za Tanzania na AT&T Marekani
AT&T za data ni kama ifuatavyo
Kwa smartphones:
AT&T Data Plus 300MB: $20 for 300MB (31,600/=)
AT&T Data Pro 3GB: $30 for 3GB...
naomba mnisaidie hii tablet ntaitumiaje especially nkiwa sehemu ambayo haina wireless manq nmeletewa na haina hiyo sehemu...ina sehemu ya memory card ndogo tu. .
Uzuri wa Simu hii
+ Bei ni rahisi mno
+ Ina vipimo (specs) vya hali ya juu
+ Imetoka na Toleo jipya na Android - Jelly Bean 4.2
+ Ina chaja isiyo na waya (wireless charging)
+ Ina skrini yenye...
kwa anayefahamu cha kufanya naomba aniambie nini nifanye ili modem yangu (huawei, E 1550)ifanye kazi tena maana haionekani tena kwenye komputa siku chache baada ya kui unlock.Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.