A diamond bigger than Earth?By Chris Wickham | Reuters Sun, Oct 21, 2012
Email
Share
Share3
Print
Enlarge PhotoReuters/Reuters - This NASA handout artist's rendition shows the planet...
wadau project tittle yngu imekataliwa(internet based e-voting system) ss nashindwa kuelewa nifanye ipi, naombeni mnitupie tittles zinazo base zaidi ktk network, nasoma computer eng. and IT finalist
Natumia window 7 nikifungua game napata hiyo masage nimepambana mpaka nakaribia kunyosha mikono juu msaada unahitajika jamani game lenyewe linaitwa prison.
Kwa wale wapenzi wa epl.. kuna kamdundo kanapiga kwenye background.. daah its simply a stunin beat.. sasa kama unaupenda also nimeamua
kushare huo muziki so unaweza ukaudownload:
>>>>short...
Nimechanganyamadawa. Nime install window xp truefast wakati wa kuinstall device imekata na skrini ya brue ikatokea yenye cod 0x0000007e nime restart lkn haijakubari nimeweka cd ya wndow xp prof...
msaada wakuuu,,,nipo chuo fulani ukifungua my computer drive za kuchomeka furashi na CD hazionekani,,,NIFANYE UJANJA gani ili niweze kuzi-display kwenye MY COMPUTER
project tittle yngu imekataliwa washkaj naombeni msaada wenu, naomba unitupie tittle na aim yake ili niweze kusubmitt
mapema then nitarud kuja kuomba maujanja zaidi juu ya kuliendesha hili...
· Visitplay.google.com on your computer and login to your account.
· Clickon the My Android Apps tab to view the apps installed on your device.
· Youwill then see a grid of...
wakuu naombeni mnisaidie ni vp ninaweza kuattach softwares ktk email, kwan me nko arusha na nlisahau cd yenye software zangu muhmu dar, sasa naomba mnielekeze hli ili niweze kumuelekeza dogo...
Im writing this post on how to connect your PC or computer to a TV because last week I returned from a trip in India and wanted to show all of my pictures and videos to my family from my laptop...
Wakuu, naomba msaada wa ku-upgrade window 7, kuto home edition kwenda pro edition. Niliwahi kuiona hiyo thread hapa, lakini leo nimeitafuta bila mafanikio.
guys nipeni updates kugusu haya maujanja ya proxy, nyingi zinakataa now baadhi zinakubali lakini poor perfomance!! Au ndo mdogo mdogo wametufuata na huku kutumaliza kabisa??
Habari zenu wandugu wa tknolojia...
Naombeni msaada nimelipia domain name kwa godaddy kwa kupitia google apps tatizo ni kwamba hiyo domain name naambiwa ni naked na hitaji kuvisha nguo na pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.