Nataka kununua generator,vitu ninavyotumia nyumbani jumla ni kilowatts 2.5 sasa nichukue generator ya kva ngapi.Nataka generator ndogo ya wastani itakayofanana na uwezo wa vitu vyangu.Pia naomba...
wakuu nimenunua modem mpya ya voda na ninataka niwe naitumia kupigia simu. hichi kisoftware cha Huawei Dashboard kinafaa kabisa ila napata zenye ads za watenegenezaji, kitu abacho kinabore mbaya...
Heshima kwenu wakuu,
Tafadhari naomba kujulishwa ni software gani nzuri na maarufu zaidi kwa ajili hotel reservation ambayo ninaweza kuinstall pia code zake online kwa ajili ya online booking...
Jupiter Photos Reveal Big Changes on Giant PlanetBy SPACE.com Staff | SPACE.com 17 hrs ago
Email
Share3
Print
Related Content
Enlarge Photo Jupiter has been suffering...
Habari za muda huu wakubwa..Owky mim nilikua nataka kupartition External Hard disk yangu na kwa kua sijui nikagoogle procedures but unfortunately niligooogle procedures za kushrink..Hard disk ni...
Habari wanajopo.
Simu yangu haina uwezo wa kuaccess yahoo. Siwezi kusoma mails, hata nikifungua web ya yahoo pia inagoma.
Je, kuna namna ya kufanya ili niweze kuaccess email zangu za yahoo...
Hi wanajamii, I don't know kwamba hili ni jukwaa sahihi la kuleta ombi kwenu msaada .................. ni kwamba nina Email ya Outlook ambayo nimesubscribe kwenye yahoogroup sasa nataka kujitoa...
Niaje mazee leo nime amua kuonyesha how fast voda ipo katika streaming nime make video iyo hapo ujionee mwenyewee.. Na angalia vizuri hapo nawatch kwa 720p HD! Voda keep ROCKING!
Water on the moon boiled away in massive quantities in a cataclysmic evaporation event during the moon's birth, bolstering the theory that a Mars-sized body collided with the Earth to form its...
Water on the moon boiled away in massive quantities in a cataclysmic evaporation event during the moon's birth, bolstering the theory that a Mars-sized body collided with the Earth to form its...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.