Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
je android phones zinaweza ku run java games mfano za nokia kwa maujanja yoyote??
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf,naomba kuuliza kuhusu ubora wa hizi PC SONY VAIO
0 Reactions
6 Replies
902 Views
*102*55# .............
0 Reactions
8 Replies
916 Views
Kama siku mbili tatu sasa naona MSNBC, AL-JAZEERA na BBC hazipatikani kwenye king'amuzi cha startimes, hawa wachina hata hawaeleki!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
leo nilikuwa natembelea http://store.apple.com/us/browse/home/shop_iphone/family/iphone/iphone4s# na bei nilizo ziona nikacho dolla 199 na iphone s4 n 99$ alafu ni free shipping je ni kwel kama...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu habari Hebu tujadilini, ni nani haswa anastahili kua father of physics kwa kuzingatia contributions zao kwenye physics kwa ujumla. Binafsi naamini Newton deserves the title. Kuna...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
WADAU NATAKA NITENGENEZE SOFTWARE ZA MAHESABU, TATIZO SIJUI NIANZEJE NA SINA HELA YA KUMPA MTU ANITENGENEZEE SOFTWARE, SO MWENYE UTAALAMU WA KUTENGENEZA SOFTWARE NAOMBA ANISAIDI AU HATA LINK YA...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
anaejua please atujulishe.. maana apn - MMS haipigi mzigo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
masaa kadhaa yaliyopita kampuni ya microsoft imetangaza bei ya tablet ya kwanza kabisa kutumia operating system ya windows, bei ni $499 na tayari wameanza kupokea pre orders, haya wapenzi wa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wadau hebu nisaidieni, nina Printer yangu aina ya HP DESKJET 3920. Kwa bahati mbaya nimepoteza CD yake hivyo siwezi kuiunganisha na Laptop yangu. Naomba mwenye CD aina hiyo aniuzie au aniazime...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
a,salaam,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,jamani nipeni maunjanja mapoint,,,,,,,,,,,,,,asante
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Mabingwa na wataalamu nawaombeni sasa muanze kutushushia sasa shule,darsa,maelezo na maujanja yooote! Kuhusu hivi ving'amuzi vya Matangazo ya Tv. Sisi huku vijijini tunajua tu kuwa ifikapo disemba...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
naomba mwenye adobe master collection anisaidie.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa bahati mbaya nilinstall window 7 katika partition yaani hard drive zote mbili.. sasa nataka kuformat local disk c nashindwa... nikiclick format inanambia sorry cant be formatted...(hapo kama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nahitaji kununua Laptop, zipo aina mbili Fujitsu Siemens 2gb ram, hard disk320gb na Dell 2gb ram, hard disk150gb. Ipi ni bora zaidi. Natanguliza Shukrani
0 Reactions
6 Replies
950 Views
Wadau mwenye circuit ya kuweza kumonitor 12v battery anisaidie
0 Reactions
0 Replies
623 Views
wakuu habar zenu, naomba kufahamiswa jinsi ya kueka link ya web katika post au comment kwa kutumia sim
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Wana JF, tafadhali naomba kujua Gearbox ya Toyota Mark II gx100 inabeba oil kiasi gani? Naona sehemu nyingi za service hapa bongo wanababaisha sana!!
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wandugu nimeuziwa BB Storm 9530 cha ajabu nimeweka bundle kwaajili ya intaneti web browser ya mtandao nilioweka haitokei,kwa hiyo kushindwa kushadidia(kuupata mtandao) intaneti nimejaribu...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom