1. outline at least 5 reason for the password to be strong 2. list steps of securing a new web server 3. Why linux server OS is preffered over windows naomba tusaidiane kuyajibu hayo maswali...
Now I was wondering that drivers are important and the forum has no thread for drivers. If you are in search of some drivers and cant find them post the driver you need with its model number and...
wadau nina shida sana na bulk email kwa ajili ya shughuli ninayofanya...lakini hakuna mtu aliweza kunisaidia wakati nilipoomba...hapa JF,lakini nimegundua kwenye email yangu nina email nyingi...
01 aug 2012
The 101 Most Useful Websites of 2012 The 101 Most Useful Websites on the Internet is a frequently updated list of lesser-known but wonderful websites and cool web apps.
Presenting...
Nina cd yangu ya nyimbo za Elvis Presley. Nataka nii-copy kwenye pc yangu, ikipata scratches nisizikose nyimbo zangu. File za cd ni Audi tracks na size ni 1kb files zote. I can't copy them...
nokia leo wamezindua simu 2 nokia 308 na nokia 309 simu hizi ni muongezeo wa nokia 305, 306 na 311 simu zote ni za s40 touch screen. moja kati ya mambo yanayofanya nokia ionekane inauza smartphone...
Wakuu salaam,
Naomba wenye ujuzi mnisaidie niweze kudownload file kutoka http://fileme.us/file/03e8e7 nimejaribu. Sharecashbypasser, survetassasin sharecash auto downloader, nimeturn off java...
Nawaombeni wanaJF munieleweshe kuhusu vitu hivi ambavo huwa naviona tu everyday naomba kujua tofauti zake na maana zake labda!
1)Android
2)Symbian
3)Java
4)Jad
Wana jamvi nisaidieni nina motorola droid pro xt610 ilikuwa inatumika USA, mi nimetumiwa problem ina lock zao nani atanisaidia hili suala mafundi wengi kkoo wababaishaji. Please help me
wakuu nimeona ni-convey mawazo yangu kuhusu siasa za bongo kwa kutumia 3D video.nimetumia adobe AE CS5 kwa ku-aply camera layer,light layer na red sold.wale watu wangu wa maswala ya Graphics...
Naongelea ipod touch 8g..
Vilevile BLack berry curve ni sh. Ngapi? Thanks kwa watakaonisaidia.
Nimeulizia hivyo maana kuna mtu yuko South ana mpango wa kuniletea.. Kanambia iyo curve ni 1.9...
Wanajamvi heshima sana kwenu!
Nina simu aina ya Nokia E5 yenye keypad zenye kiarabu na kawaida. Kila nikijaribu kucheza video kwenye YouTube inanipa ujumbe huu; "connection to server needed"...
wengi wetu tumepitia udogoni stage hii ukiambiwa kitu unakataa basi mzazi anakwambia ''ntakupeleka kwa dokta ukachomwe sindano''.
Wanasayansi wa korea wamegundua sindano ambazo zitatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.