habari za asubuhi wana tech naomba msaada jinsi ya kuitoa theme ya red alienware kwenye laptop ya samsungwin 7 help maana imefuta hadi theme nyengine..:help::help::help:
Habari wakuu, naomba msaada katika hili. The laptop was functional (working perfectly)..ila nilipoizima na kuja kuiwasha masaa machache, Local Drive D ilikuwa haionekani, but in Disk Management...
Nnalaptop moja ya Dell ambayo imekufa display yake yani nusu inaonesha na nusu nyigine ni giza nataka niireplace kwa display ya Toshiba ambayo nayo imekufa touch pad, betri na makorokoro mengine...
Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani...
Nina internet yangu ya nyumbani ninatumie Desktop Computer ina modem ya kuweza kutumia kompyuta 4 kugawa internet kwa wakati mmoja. je ni jinsi gani ya kuweza kutumia kompyuta yangu yenye...
Natumai ni wazima wakuu, swali ni kama kichwa cha uzi kinavyoonekana hapo juu. Kiasi cha pesa ni laki 5, ningependa ushauri wa kitaalamu na si ushabiki wa makampuni,
Ni vema ukaichambua itaweza...
Habari za wakati kama huu, naomba msaada wa kujua nichukua solar panel ya ukubwa (watt) gani ili iweze kutosheleza mahitaji tajwa hapo juu. Pili inabidi niwe na vifaa gani ili niweze kuitumia hiyo...
Wana JF wenzangu,
Mkoani Morogoro kumekuwa na tatizo kubwa la chumvi kwenye udongo, hii imeathirii kwa kiasi kikubwa ujenzi wa nyumba mkoani humo! Nyumba nyingi zimeathirika na hasa ikizingwatiwa...
Just download hii software "nemesis service suite" kama vp igoogle!!!
-uwe na USB cable ya simu husika eg nokia 5310.
-then install nokia Pc Suite.
-baada ya kudownload NEMESIS SERVICE SUITE...
Nahitaji laptop Yenye specifaction zifuatazo !! Kwa tsh. 550000 kama unayo just ni Pm
1. Ram-2GB
2. Internal Memory-320GB
3. Iwe na Webcam
4. Iwe na Pentium dual core
5. Iwe Hp, Acer or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.