wanaJF naomba kujua gharama za kodi zifwatazo baada ya kulipa kodi za TRA zitokanazo na CIF,
gharama zenyewe ni hizi hapa.
Clearing
forwarding agent
Car registration
license
Shipping...
KBLA YA HAPO NILIKUWA NATUMIA FLASH BILA TATIZO ILA TANGU NIINGIZE HII FLASH KTK MY COMP NDO TATIZO LA DISK RIGHT PROTECTED LIMEANZA
YAANI SIWEZI KUWEKA DATA WALA KUCHUKUA DATA KWA FLASH YOYOTE...
After an initial reluctance, Uganda will now follow Kenya by blocking counterfeit mobile handsets from accessing telecommunications networks.
Citing a loss of tax...
habar jf,
Nipo kwenye wakat mgumu wa kujaribu kupata data zangu za zaid ya miaka 4 kwenye HARD DISK ambayo kila nikijaribu ku open inataka ni FORMAT na nikjiaribu ku CHKDSK ina leta sms ya DATA...
The core reason of having a mobile phone company in the first place is to connect people and provide means of communication between people by using the cellular network provided by the mobile...
Habari wana JF
Naomba kuuliza wakuu kama kuna mtu anajua anisaidie, Je kuna software yoyote ambayo unaweza ku-install kwenye Laptop au PC na ukaweza kupata matangazo ya Redio pasipo kuwa na...
TEN COMMANDMENTS OF COMPUTER ETHICS
1. THOU SHALT NOT USE A COMPUTER TO HARM OTHER PEOPLE.
2. THOU SHALT NOT INTERFERE WITH OTHER PEOPLE'S COMPUTER WORK.
3. THOU SHALT NOT SNOOP AROUND IN...
nime-format hard disk ya laptop (40gb) yangu na nilisahau picha na documents muhimu sana. Nawezaje kuvirudisha? Sijaweka kitu kingine ktk hiyo hdd. Saidia ndugu.
natanguliza shukrani
wengine husema kwamba ikifika 100% una unplug power the unatumia mpaka ikiisha ndo unacharge tena,pia nilimuona jamaa flan yeye akisha charge anatoa bettr ktk computer na...
Smaller, lighter - and still delivering the utimate in gaming and home entertainment.
But you have to wait until the 28th this September!
HIi kitu ina 500GB of storage, lakini baadae...
helow GT...JAMAN NINA AIRTEL MODERM ZTE MF190, NILISOMA THREAD MOJA HAPA JF JINSI YA KU UNLOCK KWA KUTUMIA UNLOCKER, TATIZO NI KWAMBA NI IKIDOWNLOAD MWISHON HAI-RUN, AU PLZ MSAADA JAMAN NITUMIE...
NAULIZA JEE KUNA ANAYEFAHAMU HUKO NYUMBANI TANZANIA KAMA KUNA MTU ANAYETUMIA TECHNOLOGY YA SIMU YA MAGIC JACK?KWA SABABU NATAKA KUMTUMIA JAMAA YANGU ILI AITUMIE KWA SIMU YAKE.UNAWEZA KUISOMA...
Wataalam mwenye kujua jinsi ya kutumia simu kama bluetooth modem,naomba msaada wa maelekezo,natumia nokia E71,yaan nataka kutumia simu yangu kama modem kwa kuunganisha ktk kompyuta kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.