Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jamani mwenye uelewa anipe maelezo nataka ku instal window mpya lkn pia nataka in the process niamishe vi2 vyangu toka local disc moja kwenda nyingine!
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Nina modem ya Tigo na nipo Handeni.Strength ni strong lakini upload na download ni Zero. Hapa hakuna internet cafe,naombeni msaada waungwana.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wanaukumbi Nina flash ya ukubwa wa 4gb,ambayo kwa sasa imegoma kudelete file lolote lililondani yake wala kuingiza chochote.Nikijaribu kuiformat inakataa na kutoa ujumbe huu,the disk is...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Natumia Plesk 9.5 Control panel. Tatizo: niki type http://mysite.com inafungua site yangu vizuri, lakini niki type http://www.mysite.com inafungua ile default page inayokuwa generated...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
sehemu gani hapa Dar es salaam ntapata watengenezaji wa website kwa bei nafuu??
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani kwenu wana JF. Natumia HTC sensation Z710e, YouTube haifanyikazi....siwezi kuona chochote kwenye YouTube.....nimesha reset simu mpaka nimechoka tatizo bado lipo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu nimesikia kuna jiko linalotumia kuni tatu tu chakula kinaiva.Naomba mwenye taarifa za uhakika atujuze zaidi mechanisms za jiko hili
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MOTHER BOARDMatatizo mengi yanayowapata watumiaji wa computer ni kutokujua ni aina gani ya motherboard anayotumia kwa ikifa hii ktu basiiiiiiiiiiiiiiiiiii huna ujanja...msaada aina za motherboard
0 Reactions
1 Replies
2K Views
waungwana kama kuna mtu anafahamu pc suite ya hizi simu au alternative ya ku connect internet kwenye pc kwa kutumia hizi simu anisaidie..natumia Techno DH51.Thanks.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada laptop yangu nikidownload softwares inadownload fresh ila niki open hazifunguki kabisa naomba msaada kwenye setting
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Where can I get PLAYSTATION 3 Games ? Either CD or if anyone can teach on how to download !
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni wapi nitapata reciever aina ya strong srt 4940 kwa hapa tz au kwa dar.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nisaidien blackberry9300 inakataa kufungua internet ya bundle ya kawaida ya 450/=
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Guys A.A, Laptop yangu (Sony vaio) iliingia maji, nikaipelekeka kwa fundi akaikausha na ikawa ukiiwasha inawaka vizuri sema kioo hakionyeshi Mwanga japo screen ina display but without...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Related Content prevnext This Aug. 18, 2012 image provided … This image dated Wednesday Aug. … NASA scientists named the Curiosity … PASADENA, Calif. (AP) — Curiosity took its first...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Am having a problem with playing my fifa12 pc game which i have downloaded it recently it ask for origin password and a confirmation e mail address.does it mean that this game can't be played...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
any body with product key for MAVIS BEACON , TYPING MASTER AND IDM
0 Reactions
5 Replies
2K Views
East Africa Herald: Biggest Telecoms Companies In Africa
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Najiuliza kila siku hivi in reality kwa maisha ya bongo kazi gani ya wale wa information technology inalipa sana? Itapendeza zaidi kama mngetoa mfano wa mbongo yeyote ambaye amewin maisha kupitia...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nalipenda sana jukwaa hili kwa kuwa kunawataalamu ambo wamejitolea kuwasaidia wengine kwa upendo mkubwa. Mimi pia ni mmoja wa watu walinufaika na jukwaa hili. Leo naomba msaada toka kwenu nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
811 Views
Back
Top Bottom