Habari wadau hivi inakuaje kila ukibadilisha simu what's app inaanza upya yani kama vile hukuwa na account inatoa magroup yote na kila kitu, yani ni kama unanza moja
Habarini
leo sina mengi naomben ujuzi nifanye nn ili niweze kudistribute dstv na azam katika vyumba ving ndan ya nyumba moja Na utaratibu upoje
ASANTEN
Wakuu humu jf kwema
Naomba ushauri wa simu gani janja (Smart phone) nzuri yenye uwezo mzuri wa kupiga picha,uwezo mkubwa wa kuhifadhi(storage capacity) na uwezo mkubwa wa kukaa na chaji kwa...
Kama wewe ni mtumiaji wa kifaa hiki, hili jambo halitakuwa geni kwako!
Changamoto hii tumekuwa tukikumbana nayo kwa kiwango kikubwa na hapo hapo tusijue nini chanzo chake. Leo hii hebu tupate...
Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa.
1...
Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo.
Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende...
Vice president wa industrial designs wa Apple ameondoka Apple.
Evans Hankey ambaye alirithi mikoba ya Jony Ive kwa miaka 3 imefikia muda nae pia anaona ni wakati sahihi wa yeye kuachana na Apple...
Heshima yenu Viongozi, nilikua na Account Netflix nikaifuta nikafungua account nyingine jana kwa email tofauti na Visa Card Number Tofauti.. lakin mpaka sasa inasumbua nimeshindwa kupata Account...
Simu yangu nimeiseti kila ikifika saa nane usiku muda ambao siitumii simu basi ijizime na kujiwasha yenyewe ili iwe na performance nzuri kila siku sasa leo nakuta ina hicho kialama cha VoLTE ni...
Habarini ndugu zangu, nimenunua simu aina ya iphone, baada ya kukaa kwenye android kwa miaka yote ambayo nimetumia simu nikaona ngoja niingie kwenye ulimwengu wa iphone ili nionje hali ya hewa na...
JF ni kisima cha maarifa na wataalam mbalimbali naomba kufahamu Alama za vidole kwenye mfumo wa usajili wa mashine ya kusajili Alama za vidole je hufika muda na alama hizo ku expire(kufutika)...
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data ni pamoja na instagram
Yaani kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!
Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.
Je, wewe...
Nikawaida yangu kuagiza bidhaa mtandaoni na nimeisha pokea order zaidi ya tatu ndani ya muda sahihi Ila hii order ya mwisho ndo ilikuwa matata nimeagiza mzigo wangu LCD Display ya iPhone 6 plus...
Wakuu salamu
Simu yangu Samsung A10s hai detect Bluetooth wala wi-fi hususan 5G
Tatizo linaweza kuwa ni nini?
Haikuwa hivyo tokea mwanzoni, ni limeanza tu hivi majuzi.
Msaada tafadhali
Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error.
Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.