Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card.
Kwanini Mpesa na wenzake...
Salaam Wakuu,
Kusasisha simu ni hali ya kukubali/ kuruhusu mabadiliko ya mfumo wa simu au App iliyo katika simu au kifaa cha kijidijalikwenda katika mfumo mpya. Mabadiliko haya yanaweza kufanyika...
Nilianza uundaji Wa box za Spika za sub woofer kwa ajil ya magari, nyumbani na maukumbini, natumia MDF Kama materials ya kuundia box, rangi na Leather kwa decoration.
Wadau habari jamani, naomba kujua ubora wa hizi luninga za kampuni ya Star X, je zinafaa kwa matumizi ya mazingira ya kitanzania.
Wajuzi jamani naomba mnijuze katika hili.
Wana Jf naomba kujua kati ya west point, samsung, LG na hisense ipi company ya mashine za kufulia au in general kampuni gan inatisha kweny vifaa vya electronics
Camera za samsung kwa kweli zinahitajika kufanyiwa maboresho makubwa sana, yaani sim ya samsung ukiinunua ikiwa mpya Camera utaona ina muonekano mziri ila ikikaa miaka 2 kuendelea quality ya...
Habari wandugu?
Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa..Kwa wale wapenzi wa kurefresh mind kwa kucheza Ps 4 or Ps 5 games,Tushirikishane game nzuri ulizocheza,Binafsi napenda zaidi game za mission...
Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada
Uamuzi huo...
Wakuu nlikuwa nauliza kuwa hakuna kifaa na Battery kitakacho weza kujichaji pindi umeme upo?
Endapo umeme ukakatika basi kile kifaa na battery kiweze kusupply umeme hata kwa zaidi ya siku mbili...
Wanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.