Habari za muda huu, leo nmeona itakuwa vema kushare na wana JF, nakala hii ambayo inaelezea hatua ambazo mimi huwa ninatumia kutengeneza websites zenye thamani kubwa na zinazozalisha matokeo...
Katika Hali isiyotegemewa hawa jamaa wa simu za Infinix wameamua kuanza kutoa update za operating system nadhani hii inawezekana ikawa mara yao ya kwanza ,mfano ni hii simu yao Infinix note 11...
Pick a username
When setting up Telegram, you'll have to enter your phone number and add your first name. If you don't want to appear under your real name or phone number, or just want to be more...
All of the major US 3G networks are scheduled to shut down in 2022. This may affect your phone, your home alarm system, or even your car. Let's break down exactly what is happening and what you...
Kutokana na muamko mkubwa wa watu kuanza kujihusisha na digital business, watu wamekuwa wakiingia na kujifunza NICHE mbalimbali za teknolojia za kimtandao na Creator Economy, kutokana na muamko...
Wakuu, kwa wale ambao ni game addicted kama mimi hapa ningependa tujulishane zaidi juu ya hizi games. Binafsi nimetokea kupendelea sana simulation games kwani zina hali fulani ni kama reality...
Msaada Simu yangu Samsung Grand prime pro.
Ukiiwasha kama iko asilimi chini ya 70% haiwaki bila kuiweka kwenye charge ndipo uiwashe. Na hata ikikosea umebonyeza batani ya kuzima kwa kutaka kuiweka...
Habari, kwa wale wanaotaka kutengenezewa application za kwenye simu tunafanya hivyo kwa bei reasonable, tunaanzia kwa tshs 500,000 kwa applications zenye basic features,
pia tunatengeneza website...
Habari wakuu.
Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika kisa, hatuna...
Peleni na majukumu.
Natatafuta mtu mwenye ujuzi na programu ya MATLAB, sana sana kwenye Signal processing.
Lengo ikiwa ni kutengeneza project.
Kama unaujuzi huo na unaweza kuniongoza kujenga...
Copy paste kutoka fb......
Tanzania kuna "𝐭𝐚𝐩 𝐤𝐢𝐝𝐝𝐢𝐞𝐬" wengi wanaojiita "𝐇𝐚𝐜𝐤𝐞𝐫𝐬" , hii ni sawa na panya kujifananisha na simba wakati hamwezi hata nyau.
Kumekua na tabia ya ajabu sana siku...
Habari Wana Tech
Kuna start up yangu nimeanzisha nahitaji kwa mtu anayejua namna ya kuweka hizi (voda,tigo, Airtel,HALOPESA as gateway) Kama njia ya malipo kwenye website , sababu WordPress Kuna...
Wiki kadhaa zilizopita Huawei alitoa developer version ya Harmony OS, lakini kutokana na wakali wa Mambo na comparison ya side to side Ile ni Android 10 ambayo imekuwa edited.
Nimeona video...
Ransomware ni programu (Kirusi) iliyoundwa kumnyima mtumiaji au shirika ufikiaji wa faili kwenye kompyuta yake. Kwa kuloki faili hizi kwa njia amabyo huwezi fungua na kisha kudai malipo ili uweze...
Space debris ni aina za material ambayo yamemaliza matumizi ama tuseme takataka ambazo hupatikana huko anga za mbali kwa kuachwa na mwanadamu au kwa asili ambapo tunafahamu kuwa uchafu mwingi wa...
Habari wadau.
Nina miliki website tatu kwa sasa na ninafikiri kuongeza moja hivi karibuni. Kila aliyenitengenezea website aliweka package ya domain name na hosting kwa mwaka mmoja bure. Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.