Huawei U8150, U8160 unlocker freeee kwa watu kumi wa mwanzo. pm yangu imejaa maombi ya huawei unlocking nikaona nitoe free software kwa wale kumi wa mwanzo hapa. uki-pm sitajibu
Wadau naomba kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na haya mambo anisaidie yafuatayo
1.Utaratibu wa kufuata|+ requirements ili kupata leseni ya kurusha matangazo ktk TV
2.Jinsi ya kufanya ili tv station...
Wakuu habari zenu; Jamani naombeni msaada for the past two month napata shida sana kufungua official mail yangu ya yahoo.Ilikuwa ivi,niliwazima mtu laptop katia kufanya kazi zake akaremove...
Jamani hii mashine imegoma kutype kabisa yani keyboard haisupport kabisa na pia kasa haifanyi kazi mpaka nitumie external mouse. Tafadhali jamani naombeni msaada wenu
sijui kwa wengine kama mnapata hii adha...
Nina kinokia changu, E72...mara nyingi nikiwa active katika packed data huwa sipatikani hewani. Nimehakikisha hili baada ya kujaribu mara kadhaa...
Kwa wale wenye simu zinazo support video call kuna apps Kama skype na fring lakini skype hai support video call kwa baadhi za simu zenye uwezo huo fring Ina support video call kwa platform hizi...
Jamani nimepata hii mail kutoka yahoo mida hii
Security Alert ,Your Yahoo account has expired.You must renew it immediately or your account will be closed.
click here to renew
Regards...
Kwa wale wenye simu zinazo support video call kuna apps Kama skype na fring lakini skype hai support video call kwa baadhi za simu zenye uwezo huo fring Ina support video call kwa platform hizi...
Jamani nina simu Ideos imebanwa na kampuni ya simu nataka ifunguliwe ili niweze kutumia line ya kampuni yoyote. Naomba msaada kwa anayejua mahala nitakapopata mtaalamu wa kuifungua itumie line...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.