Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wapi naweza kupAta sony ericssony live with walkman
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Wataalam wa haya mambo leteni maneno hapa kuelimisha wana JF. Nimenunua TV aina ya PLASMA Samsung lakini nilipokuwa najaribu google...wataalam wengi wanasema kimsingi TV zinatumia LCD na kikubwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habari za kwenu wanaJF, naombeni mnisaidie niweze kujua jinsi ya kuaccess computer yangu nikiwa popote. Yani kama nikiiacha inawaka nyumbani basi nikiwa kazini niweze kuiaccess na niwe naitumia...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
looking for a web designer with good designing abilities and creativity. if you are the one or you know a friend tel him or her to email their cv at pasiansi@gmail.com or...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Hii itakuwa kali kweli ukijivinjali katika tovuti ya Wizara ya Afya (www.moh.go.tz) utakutana na jamaa likiwa na bunduki kali sana! na kuna maneno haya HACKEDBYCELLAT. Nafikiri kutokana na hili...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
new scholarships available at Scholarships for African Students
0 Reactions
0 Replies
850 Views
ndugu ninaombeni mmsaada wenu nani anaeiuza iphone 4s yake na ni kwa sh ngapi? my id is ebrahimimtiaz2004@yahoo.com
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Wadau wa jf me nakwazwa na uhamasishaji wa upande mmoja juu ya muda wa mwisho wa matumizi ya matangazo ya tv ya analogy, kwani kampuni zitakazotoa huduma za digital bado hazijajiimarisha hasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hello,simu yngu e5 everytime inakuja option ya select enhancement hata nikiselect inarudi tena na tena,nimejaribu kufanya factory settings kitu bado 2 nmejaribu kuiupdate software ya simu lakini...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Curiosity Steps Up Search for Alien Life on Mars NASA's Mars Science Laboratory ratchets up the quest to the next ingredient in the recipe for life -- organic carbon. By Irene Klotz Sat Aug...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari zenu wadau. mimi ni kijana mwenye kipato cha kawaida,nimekuta volkswagen polo inauzwa,hivyo nimeona nipate ushauri wenu wa kitaalam na kiuzoefu ili nisifanye makosa katika kununua gari...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Baada ya masiku kadhaa kufanya utafiti wa blog za wabongo nimegundua wengi wao wamejiingiza huko kuganga njaa maana ubunifu ni zero habari na picha wanacopy na kupaste na zote zinafanana...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF, Naomba kujua jinsi gani naweza kuona all the devices zinazotumia wireless yangu ya nyumbani na jinsi ya kuweza kucontrol wireless ili kama kuna any device ambayo inatumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Step1: Download Easeus Partition Master Home Edition then proceed with the installation. Step2: After installation, run the program on your Desktop. Select the drive you want to partition and...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimejaribu kujua kuhusu hivyo vitu sijapata jibu sahihi google. Kwa ajuaye anielekeze coz nataka ku upgrade manually my android phone to icecream sandwich... Wabeja
0 Reactions
6 Replies
2K Views
7
0 Reactions
1 Replies
934 Views
niko dar wapi nitapata PC game ....sports game kama fifa 2011.2012.......!! itakuwa fresh nikijua na bei kabisa.
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Je os yako ya windows ina matatizo, Je iko corrupted au kuna missing files Ni rahisi kurekebisha Run command promt kama admin na andika command zifuatazo sfc/ scannow kisha bonyeza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jf msaada jamani i lost my files on my hard disk nisaidieni software kwa mwenye nayo.muhimu sana.thanks jf
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naitaji msaada wa kampuni wanao funga vifaa vya ulinzi wa gari yangu Noah
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Back
Top Bottom