Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau toka juzi mtandao wa airtel unasumbua hasa maeneo ya mz na Geita hasa kwenye modem zinaconnet ila net inakuwa chini sana .kuna mwenye kujua tatizo ni nini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba tena msaada mnijuze, hivi kuweka picha (upload) kwenye thread ambazo zinacheza kutoka kwenye website au File la Computer unafanyaje maana ukii- save as picha ya kawaida ya GIF na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wa jf hivi kutakuwa na tofauti niki update my phone interms of perfomance and some other features? asanteni waku
0 Reactions
20 Replies
2K Views
laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa :wacko:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu sielewi ni kimetokea, applications zote hazifunguki computer ni Toshiba Satelite C660 na ina window 7 premium... Naomba msaada wenu katika hili..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani kila nikifungua facebook inaandika welcome ngix.............then kuna kuna website hazifunguki kwenye pc yangu kama websites za vyuo tz :hat:
0 Reactions
3 Replies
713 Views
mSAADA WENU WADAU NA WENYEUELEWA MKUBWA..NA BEI ZAKE MNIAMBIE HAPA HAPA SIO LONGO LONGO
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naomba kuelekezwa jinsi ya kupata mahali nilipo kwa kutumia google earth map ya simu 95?na jinsi ya kutrack mtu kwa google earth map!nawasilisha!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wale wajuzi wa masula ya kuanzish radio station Mjomba wangu anataka kuanzisha radio katika moja ya mji nchini tanzania9not dar) fedha alizopanga ni ---- milion. sasa mtaalamu anahitajika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Three year-old Robin Siyandleya sits on his mother Rujeko's lap while Prosper Bindiko cuts his hair at the Woodlane informal settlement in Pretoria. The hair salon makes use of solar panels which...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu, huduma iliyoletwa na tiGO ya kutumia Facebook bila internet kwenye simu yako kwa kupiga *148*01*4*2#...naona mizinguo tu maana kila unapojaribu ingia kwenye akaunti yako...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
naomba kufahamishwa wadau
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wazoefu wa magari haya nisaidieni jamani manake nayapenda mno na nataka kitu economic kwenye wese kinoma,yanakulaje wese kwa lita au gari gani zaidi ya hili ni ecnomy sana
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Kuna kitu kinanitatiza ni kwa nini thread titles kwenye forum au new posts nyingine zinakuwa na wino mzito (bold) na wengine zinakuwa normal (hazina bold). Nahitaji kujua zenye bold mnafanyaje...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JM naombeni mnisaidie ishu ya kucomfiger mozila ili niweze kutumia mtandao free yaani bila credit. cause kuna jama kafanya hivyo na kafanikiwa anatumia modem ya Voda. kama una jua naombeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za usiku wa leo wanajamii?? jamani naombeni msaada wa namna ya ku restore hard disc maana kuna kama 50 gb za HDD naambiwa kuwa unallocated. hii ilitokea wakati nafanya partition ya hard...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa kuapdate status via ipad,blacberry.android ,HTC na divice nying tu just ingia statusvia.net ili kuapdate status yko ktk fb via anything..just for funny.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kucomfigur mozila ili niweze kupata mtandao free kwa kutumia Moderm ya voda cause kuna jama anatumia bila credit modem ya voda
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada kuhusu internet ya Voda.Line yangu ina bundle na extra credit pia kama 800 hivi,3G signals zipo na very strong.Nikijaribu kuconnect inaconnect lakini inaonyesha NO INTERNET...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom