Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu nisaidieni, nawezaje kuinstall programs eg antivirus kwnye samsung mini laptop ambayo haina CD/DVD ROM?? shukrani
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nna blackberry bold 9650 verizon haina internet ata nktuma BIS..ss msaada wenu nn cha kufanya.. ahasante
0 Reactions
0 Replies
766 Views
cwezi kuangalia tv kwenye laptop
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Pls naombeni mnisaidie hapa nataka kucopy kitu
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Wapendwa nataka kuanzisha website kwa ajili ya vijana wadogo, kuwapa maelekezo ya malezi mema na shuhuda za watu waliofanikiwa kwa kuchunga tabia zao. Sasa nahitaji kupata jina nitakalotumia kama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamii, nina laptop yangu ya hp pavilion dv5.ilipata matatizo ya power supply.nikaipeleka kwa fundi.akaniambia imekufa motherbody.naombeni kama kuna mtu anaweza akawa na hiyo motherbody...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Kuna mtu kanirushia hii email: Logically this is possible, sina uhakika kama Polisi wetu hapa wamewahi kuwaza hii mbinu inayoutumiwa na Polisi wa Kenya ila ni shida kidogo pale ambapo vocha...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni wapi naweza kupata laptop mpya hapa dar,processor i3 au i5, ram 4gb 500gb hardisk hp au dell,dukani au ya cross,ilimrad iwe mpya,asanteni.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
guys natumia laptop aina ya Toshiba Satelite but all of a sudden mlango wa dvd kila nikiweka dvd inagoma haisomi, naombeni msaada wa mawazo guys im stuck kwa kweli :wacko:
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za asubuhi JF Members? Napendwa kufahamishwa kama mashine yangu ina support Windows 7. Download hiyo file hapo chini halafu unipe feedback. Natanguliza Shukrani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau nahitaji antivirus ya Mcafee endpoint protection for windows. It's very important I get this today. Mwenye nayo tuwasiliane 0685 482 501. Deadline saa 9 mchana wa leo. Please!
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Hii huduma kwa wenzetu saiv haifanywi tena na makampuni ya simu wanafanya watu binafsi je hapa TZ naweza kupata tenda kwenye makampuni ya simu?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
habari, mm nataka msaada wa software ambayo itaniwezesha kudownload books bure , vitabu vya kununua ila mm nataka kudownload bure nifanyaje?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, natafuta RF unit ya VSAT ya KU band. Ni zile wanazotumia wateja wa afsat. Kama kuna mwenye nayo hasa wale waliokua wanatumia afsat wakahama na wamebaki na equipments. Nipigie 0767...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Habari wakuu, Nina simu aina ya Tecno T8. Nilikuwa nasikiliza miziki kutoka simu hii kwenye car stereo. Nashangaa baada ya matumizi hayo ile alama ya "Headset" haikupotea mpaka sasa na imepelekea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
One of the most complicated missions ever attempted by NASA, the landing of the one-ton rover Curiosity inside a crater on Mars after a 500 million kilometer journey, has apparently gone without a...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The Mars science rover Curiosity landed on the Martian surface shortly after 10:30 pm Pacific US time on Sunday (0530 GMT) to begin a two-year mission seeking evidence the Red Planet once hosted...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau, natumia window xp ila nashindwa kutumia you tube.msaada wenu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
niliupgrade internet explorer kwenda version 8 sasa inazingua compactibility na program nyingine nawezaje rudisha IE7
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Nina .aspxpage. Page in ListView control ambayo inaoesha majina ya nchi mbalimbali(nchi zipo stored kwneye database). Kila jina la nchi,lipo ndani ya anchor kama hapo chini. <a>Country</a> Nataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom