Nimepata fifa 12 ila nimeshindwa kuinstall...
Naomba msaada kwa anaijua{alie nalo}
2. Nina need 4 speed hot persuit, nikitaka ku activate ina niomba serial codes. Kwa alie nazo naomba anisaidie...
Halow wana JF,
Computer yangu Laptop Dell mpyaaaa!!! haina sauti mfano nikiweka modem yenye option ya kupiga simu, inaniambia no audio device found, the call will be terminated!! halafu basi...
Chuo kikuu cha Mbeya University of Science And Technology (MUST) ambacho Zamani ilikuwa Mbeya technical college (MTC), badaye Mbeya Institute of Science and Technology (MIST) na sasa kimepewa...
Habari zenu ndugu zangu. Natafuta mtu wa kunitengenezea ipad yangu.Tatizo ni kwamba niliidondosha na hapo haikuweza kuwaka tena.kwa mwenye uwezo naomba anitaarifu japo kwa PM. Asante.
Huwa inafika wakati unahitaji crack au keyz za software flani lakini inakosekana, mimi nadhani ni kwa sababu crakers hawajavutiwa na hiyo program au labda ni watu wachache wanayo ihitaji. Hapa...
1. System Requirements
At lease 500MB of free disk.
Windows 7, Windows Vista or Windows XP.
2. Installing BlueSoleil
2.1 Before installing
Uninstall the earlier version of...
Wakuu habari za mida.
Nina portable Dvd player mupya na nimeitmia kwa miezi miwili. Tatizo limekuja juzi juzi, ukiweka dvd inazunguka weee then inakwambia NO DISC.
Sasa hv haizunguki kabisa...
We provide web services at professional qualities and at most reasonable prices that no other service provider may dare to.
Our web solution including following amazing features:
40GB disk space...
gd evening evlbody! natumia tecno t451 ina operamin ya humo humo tatzo kuna baadh ya app' inagoma kufungua kama facebook inaleta menue ya e-mail na password nikijaza naku log in inafail mala zote...
Gudeveng!naombeni msaada jinsi ya ku2mia printer hp deskjet 2050A Kwa ku2mia pc yenye windows 7,32bit baada ya kununua nimegundua kwamba specification za mashine inatakiwa iwe windows 7,64 or 86...
Tanesco walivyo wakorofi wamekata umeme ghafla pc yangu ikiwa on, na baada ya umeme kurudi nimewasha pc yangu ikawaka lakini hai-display kitu chochote. Sina ujanja zaidi ya kuisubiri jf itoe tamko...
Habari za kazi wanjamii?? jamani mwenzenu nilinunua ka laptop kangu kapyaa ni hp 635 kama miezi 7 iliyopita,sasa kuna kama vitu 2 nilikuwa naomba msaada kiushauri wenu maana huku ndio kimbilio...
Nimekuja kupata msaada hapa kwa wataalamu wa software. Nahitaji kujua kama naweza kupata software kwa ajili ya kudisign cards mbalimbali najua kutumia publisher tu. Nitashukuru kwa msaada wenu...
WanaJF habarini za wikiendi,
Ninaomba msaada wa kupata software ya windows 7,computer yangu imeliwa baadhi ya mafile ya OS nahitaji ku install upya au kama kuna alternative naweza kufanya naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.