Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Airtel imepandisha gharama za internet, 400mb kwa sasa sh. 5000. Piga *154*44#
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Poleni kwa shughuli na kazi mbalimbali wana JF.Kuna post ilikuwepo hapa ilikuwa ina zungumzia jinsi ya kuchakachua king'amuzi cha startimes.Nimeitafuta sija iona,mwenye kumbukumbu amipe link yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale wapenzi wa Nokia kama chief-mkwawa natumai mnazikumbuka Nokia zenye Viuno kama vile Nokia 3250(iliyo tumika kwenye wimbo wa Rihanna UNFAITHFUL) na Nokia 5700 Express Music Sasa...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
sim gani ya mkononi inaweza kusaport mozilla fire fox?????
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Monin evryone. So i hav ths dellatitud d610 and a media player of klite codekpack.. Now the problem z when i insert a dvd cd the movie play but upside down bt when i play downloaded videos it do...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
mwenye hayo magemu na yupo dsm naomba anisaidie wandugu,ntamtafuta popote na kuhusu hela ya supu asihofu teh
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu, channel za tv yangu zimepotea ghafla, zikiwemo za tz. Kati ya channel 92 zinebaki 27. Natumia dish 6ft.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
vodacom itasaidia wadau wote mnaoweza kutengeneza app za simu voda imetoa shindano ambalo litakuwezesha uvute mkwanja iwapo app yako wa2 wataiappreciate mbali na hapo utaweza kushhnda 175,000 tzs...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Salamu wanajamii.msaada wa kupata motherbody ya hp pavilion dv5.ni wapi naweza nikaipata.mana nimezunguka bila mafanikio.natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Nitawezaje kutumia simu yangu ambayo ina USB kurun internet access kwenye laptop???
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Description: OS X® Mountain Lion, the ninth major release of the world’s most advanced operating system, which brings popular apps and features from iPad® to the Mac® and accelerates the...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
jamani kama kuna mtu anamfamu fundi mzuri wa desk top computer hapa mwanza anijulishe, nina sony computer original nilinunua japan, sasa iliharibika na nimejaribu kupeleka kwa mafundi naona...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
naombeni msaada wenu wataalam. Nina nokia ASHA 200 inanizingua sana ninapofungua inter net hasa facebook huwa inaniletea ujumbe huu out of memory error java/lang/out of memory error...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna JF member ambaye juzi alipatwa na munkari wa UZALENDO kiasi cha kutoa proposal hapa JF kuwa members wamtumie PM ali awape codes za kumwaga kwenye websites za serikali ya Malawi ili...
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Jamani nisaidieni website itakayoniwezesha kudownload subtitle kiurahisi....maana nimehangaika sana bila ya mafanikio........media player ninayotumia ni vlc
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Wanajamii I am looking for a research topic in ICT Management, Please help by identifying any issues regarding ICT Management which you think needs quite extensive research. The issues should...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau hivi mimi huwa nasikiliza times fm kwenye pc yangu kwa streaming.....Hivi nauliza hivi kwa muda wa saa moja inaweza kukata megabyte ngapi? natumia sasatel........ Na kwenye Huduma ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mobile operating systems zinaonekana kupambana vlivyo kwenye soko. Ujio wa WP8 ni changamoto kwa other os kama android na ios. ila android imeendelea kubamba, nadhani mtakubaliana nami. chek...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wazima wakuu wote.Haya nawaletea news wataalamu nawachia YouTube dropped from iPhone-iPad operating system Applications to let users watch YouTube videos will not be...
0 Reactions
3 Replies
895 Views
jamani naomba mnipatie manual setting za configaration setting za internet za Zantel na Tigo. Nimejaribu kuomba kupitia simu yangu kupitia namba 500 kwa tigo na namba 15098 zantel pasipo...
0 Reactions
6 Replies
16K Views
Back
Top Bottom