Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
anayehitaji flash disk mpya 4gb- 10,000/- 8gb- 15,000/- ani pm kwa watu wa dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za mida hii wanafamilia, naombien msaada wa activation key za; karpersky 2012 office 2012 asante:israel:
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Naomba maelekezo ya kutengeneza document in pdf format.Nimehangaika nimeshindwa nika0‹2a niwashirikishe wadau wa technology hapa. Pia naomba kuelekezwa steps za kuweka window kwenye...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
wana Janmv naomba msaada namna ya kusikiliza radio kwenye net nime download na kuinstall radio rage lakini nashindwa kusikiliza local radios online chanels zinakuja lakini uki click play hamna...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
l
​My laptop is toshiba satellite A205-S5803 SYSTEM UNIT. It is installed windows 7 ultimate. By the time being has problem of not responding as soon as when it is plugged with its adapter...
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Msaada wandugu nadhani hacker wanaweza kuwa wamenitembelea. Kila nikifungua napata msg hii Please complete a security check No verification methods are currently available. Please come back later...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Kama unatumia google mail au chrome na unapata shida ya ku attach basi badili na tumia Internet explore
0 Reactions
0 Replies
746 Views
ebu tusaidiane hapa...ingekuwa wewe hapo ungefanyaje?
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Microsoft Internet Component Download (MSICD) is a system service for downloading and installing software from Web sites on the Internet and intranets. This section contains a list of articles...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Software can be regarded as collection of computer programs which provides the instruction to a computer, it can also be defined as an entity which is a set of computer programs. There are various...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Habari zenu wanasayansi wa jukwaa hili. Natumia modem ya Voda Broadband, na baada ya kwisha kwa kifurushi nilichokuwa natumia, nikataka kununua kingine. Kifurushi nilichohitaji ni namba 4 kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Good news for those of you who are increasing visitor traffic for your website or blog, SEO (Search Engine Optimization) will never escape its name of backlinks, the higher the mark the popularity...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Kila nikijaribu ku-install Office 2007 inakataa. Inaandika ‘can not find "Office-en-us/msvcr89.dll" file. Nikienda kwenye installation folder nakuta hilo file lipo. Nimejaribu ku-locate...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi, Natafuta pa kunua Book reader, anayejua duka ambalo naweza pata ukiwa Dar es salaam naomba anielekeze. T.K
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Ni jinsi gani naweza kutumia Internet bure?
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Hv ni mimi 2, au 3g kwa maeneo ya tegeta haipatikani kabisa kwa mitandao yote toka asubuhi?
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Wandugu mimi huwa naangalia movie ktk BB curve 8520, sasa nikitaka kuforword kidogo au kubackword kidogo, huwa sioni hiyo option, huwa inaforword mpaka mwisho au ku anza mwanzo kabisa....naomba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndg wanajamvi muda nilioulipia dstv umeisha. nimejaribu kulipia huduma kwa tigo pesa lakin hata hivyo, bado huduma haipo, naomba msaada. capital
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Visit ismailsimba.blogspot.com, for help with tech. Info.
1 Reactions
0 Replies
782 Views
Niko na surf net hapa ghafla naona Google iko out, site zingine ni accessible. Kuna mtu mwingine ana experience tatizo na google?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom