salaam wakuu, kuna cousin yangu hapo juzi amelipia BB service ya tigo kwenye hii bb storm yake ya verizon wakakata hela nakum2mia text bt imeshindwa kua actievated. so is there anayefaham how to...
Here's what the Outlook.com inbox looks like. Like in Windows Phone, you can customize the color of the Metro UI.
(Credit: Screenshot by John Chan/CNET Asia)Microsoft has launched a new email...
Wanajamvi naomba kuelimishwa kuhusu simu yenye kasi kwenye INTERNET. Pale kwenye maelezo ya simu(specification) nizingatie kipi kati ya hivi; SPEED,CPU,SENSOR,2G,3G,4G,GPRS, au kuna namna nyingine...
Wakuu kama wewe ni mteja wa tigo au/na vodacom then now unaweza kutuma SMS from your Gmail accout for free... for more info you can checkout this link Google
Greetings JF Members. I've been hearing some rumors on streets about Laptops causing loss of fertility. At first I thought it's just some rumors from uswahilini (where most rumors start) but...
Natumia mordem ya Safaricom huwa naitumia mara kwa mara ... Tatizo ni kwamba kuna mda inaweza kukataa hata kupandisha sign za network ,,, fisrst time nikajua ni tatizo la mtandao .kumbe sio. Na...
naombeni msaada jamani ili niweze kuflash modem yangu ya airtel, modem yangu ni hizi mpya za sasa, nisaidieni hatua kwa hatua namna ya kuiflash ili nitumie line yoyote
Nauza didgital camera samsung, megapixel 12.2, 27mm wide angle, ina memory card 4gb na battery rechargeable pamoja na chaji yake kwa shilingi 150000 ni nzima nimetumia mwezi 1. kama una shida...
wadau mambo vipi! naomba mnijuze decoder nzuri nina dishi la zuku, wameniboa sana sasa natafutia receiver nyingine ya free chanels. Nimejaribu kuweka media com kwa dishi hiko, sasa napata chanels...
guys naombeni msaada wa dhati...nlijaribu kuifanyia hard resett simu yangu NOKIA C7 na ikanitaka niweke passkey (nkaweka za nokia 12345,00000) ilinipa only 5 attempts..bad luck zikakataa zote.. na...
Kuna namna ya kuzuia Txt za Facebook zisiingie yahoo ,,,au kwenye Mail adress yako .. Maelezo na step za kufuata ni zip ?
HELP
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Habari za majukumu wakuu,
Nimekumbana na tatizo ambalo sjawahi kuliona kabla.
PC yangu inatoa message "YOU MAY BE A VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING, THIS COPY OF WINDOW DID NOT PASS GENUINE...
Hellow
Kuna Precedure wakati unataka kuinstall some application kama sio zote kwenye iphone and Ipad inabidi uwe na credit care/Master Card/Visa etc then info zake unaziweka kwenye registration...
Kuna uzi unaojitokeza hapa JF kuhusu uuzaji ICT training videos ambao maswali yameulizwa kuhusu uhalali wake. Hizo video training "zimeokotwa" kwenye wingu la internet na "mjasiriamali" mmoja hapa...
HTC will be shutting down its
office in South Korea, reports
The Next Web.
The reason for this is reportedly
due to HTC's inability to compete
with Korean companies like
Samsung and even LG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.