Habari ya hasubuhi wana JF, kwamara ya kwanza nikohapa na nimefurahi sana kua hapa leo.
DHUMUNI
Mimi ni mwandishi,mwongozaji na mwigizaji wa filam ( i.e, majira yote ). Nimekua...
Wapendwa nataka kuanzisha website kwa ajili ya vijana wadogo, kuwapa maelekezo ya malezi mema na shuhuda za watu waliofanikiwa kwa kuchunga tabia zao. Sasa nahitaji kupata jina nitakalotumia kama...
Naomba msaada wana JF E-mail ni gmail lakini nimekua napokea notification kutoka Facebook na mitandao mingine ambayo nimejiunga sasa nahitaji kuondoa notification zisiingie kwenye E-mail. AHSANTE
Jamani kwa wale ndugu zangu wataalamu na wazoefu wa hizi mambo naomba mpitie hapa mnishauri kuhusiana na blog yangu NOLNIZ nyie mnaona kipi kiongezwe au kipunguzwe ili nayo iwe katika level...
Sina hakika kama hii thread ilishananzishwa hapa, kama ni marudio si mbaya!
here we go!
1. Nenda Menu
2. Changua System Settings
3. Navigate kwenye Channel Search
4. Chagua Manual
5. Kisha weka...
Nimetumia Os nyingi sana mazee toka kipindi cha java nkaja symbian, adroid, apple, bb os, but now nimerud tena kwe adroid. Kuna apps kama SPC hii app nikali kwa vicheche haipatikan kwe iphone yeyote
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2...
napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote wanaotusaidia kuujua zaidi ulimwengu wa comp.
Bila kupoteza muda modem yangu ni ya ZTE
model: MF 190
imei: 865720012089832
Jamani mnisaidie kufahamu namba ya mtu anayekutumia hizi sms za airtel chat, maana sasa inakuwa kero kuna watu wanasumbua sana, nahitaji kuweza kufahamu namba za huyo anayenitumia sms hizi za...
Naomba msaada, natumia laptop dell d610. Juzi imekataa kuchaji betri mpaka sasa. Unapochomeka chaja umeme unatumika moja kwa moja hauendi kuhifadhiwa katika betri, huwa naenda kuchaj betri kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.