Naombeni msaada wenu wataalamu wa JF. Laptop yangu ya Toshiba yenye Windows XP Proffesional ina program 3 kwa ajili ya ku-play back DVD. Hata hivyo zote zina matatizo kama ifuatavyo:
1.Window...
habari guys... Nataka kuconnect internet kwenye lapt through my nokia c7..its is incompatible with my phone instead inataka niinstall ovi suite ilu niconnect internet... Plz guys aliyeidownload au...
Wakuu wa Technology.
Naomba msaada wenu kwa hili simu yangu ni NOKIA N97 na inatumi Os ya SYMBIAN. Hii operating system inanisumbua sana hivi ninaweza kuibadilisha kweli? Au kama kubadilisha...
Wakuu za Jumapili,
Ninahitaji msaada wa hii software, (mac)
kuna video hazikubaliwi na Final Cut Pro 7, mfano, vob, mp4 nk.
nikiziconvert kwenda mov kwa kutumia Quicktime, bado pia zinakataa...
Nimefungua internet katika simu ya kichina lakini inakataa inaandika secure sijui nifanyeje jamani naimbeni msaada wenu wa kufungua simu ya kichina internet natumia laini ya tigo na ya voda
1: Gain experienceEven though IT experience isnt enough to get you recognized as an expert in an industry thats filled with experienced IT pros, it is the first prerequisite. No matter how...
Habari zenu wajuzi
Nimekuwa nikisikia kuna mfumo wa kuchat na marafiki kuitii hii tovuti ya ukweli kabisa jamiiforum.com lakini kila nikiuliza naambiwa mpaka laptop yako iwe na Java thanx god...
1. What is spoofing?
Spoofing is the part of any form of communication (electronic or physical) whereby the sender inserts/attaches false identity contact information to the communication.
Some...
Waungwana naombeni maujanja ya ku-upgrade kutoka window vista kwenda window 7 ultimate..nikijaribu ku-upgrade inaniambia ni lazima niwe na window vista service park 1 or higher. Naombeni muongozo...
Wakuu hali,
nina iPod touch kwa muda, na ina some stuffs za mwenye nayo.
Sina acc ya itune, as sina credit card, ambayo nashindwa ku-bypass wakati wa refistration.
this device is 4.0.2, siwezi...
Hey wadau msaada!
Nili update software ya Nokia x2-02 to v 11.62 then baada ya hapo nikipigiwa simu inakuja namba hata kama namba nimesha save mpaka uanze na 255 what to do.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.