avg internet business edition 2012, Advanced System Care Pro Latest Registered
na zingine kibao piga mzigo toa maoni kama una tatizo utapatiwa ufumbuzi wa haraka vv
mi nnatumia Nokia 3110c na memory card 1gb tatizo ni kwamba nnashndwa kudownload video zenye mb kubwa mfano 20mb na kuendelea, ikijitahidi sana inadownlod video ya 9 - 12mb lakini nikijaribu 20mb...
Kampuni ya Samsung Tanzania, imezindua simu ya Samsung Galaxy Pocket yenye uwezo wa kufukuza mbu usiku, pindi mtumiaji anapowasha.
Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam na Mwanafunzi wa Chuo...
Kama unahitaji kwa ajili ya kerspersky internet security hadi 2014 bonyeza hapo chini:
http://adfoc.us/544607187193
password nenda hapa:
http://adfoc.us/544607444964
Enjoy!!!!!!
Jamani naomba msaada wa kuunga nisha computer yangu na simu aina ya nokia 6300, yaani niingize bando katika sim yangu alafu nitumie katika computer kwa ajili ya internate nitafanyaje jamani
Wadau nimerestore factory kwenye simu yangu aina ya nokia x2-01, internet aiaccess tena naomba kuelekezwa jinsi ya kureset natumia mtandao wa tigo nipo mbali na ofis za tigo nmejaribu kuwapigia...
nimeona watu wengi wanaulizia kuhusu kuwa na animated avatar. while unaweza pata animations nyingi kwa kutumia google, hamna kitu kinafurahisha kama kuwa na custom avatar yako, yaani with ur own...
Anaejua wapi naweza kuwaona mawakala wa hii co tz
au namba zao za simu
please msaada
hiini kampuni ya South Africa
nimewahi ona magari yao barabarani
natafuta ofisi zao
Simu nokia n95, nimeinstall(save) vitu vichache sana inaniambia memory full,inakuwaje hali ina memory capacity ya 8gb? Tofauti na simu nokia 2730 ambayo nimeweka pics,video, na miziki mingi sana...
wakuu habari zenu.. nimenunua moderm kutoka vodacom ambayo unaweza kuitumia kama wireless. moderm hii ni aina ya Huawei ssid: Vodafone Mobile WiFi na speed yake ni 7.2Mbps. nataka niichakachue...
Naombeni msaada wa kuunganisha simu yangu na computer, sim yangu ni nokia 6300.nataka kutumia kwa ajiri ya kutumia internate, yaani naingiza bando katika simu na kuweza kuunga nisha kwenye...
Wadau msaada Flash Disk yangu inagoma kabisa kufunguka, ile taa nyekundu inayowaka haiwaki kabisa katika kila Computer ninayojaribu, kuna njia yeyote ninayoweza kutatua tatizo hili manake ina...
Related Content
New Planet Found, Smaller Than …
Thirty-three light-years away, in the constellation Leo the lion, astronomers say they have found a world considerably smaller than...
Nina SanDisk........inapicha naziona kwenye kamera lakini nikiweka kwenye card reader hazionekani...nimeenda kwenye hidden folder nimeweka sawa lakini bado hazionekani hivyo wanabody naomba msaada!!
Habari wakubwa.
Naomba kujua duka/mahali napoweza kupata contactless smart cards za MIFARE. Hizi ni smart cards zinazotumika kwenye access control mbalimbali kama vile digital locks, n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.