Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Apple Wins a User-Interface Patent That Smartphone Copycats Should Fear http://t.co/nrg0sP4c .haya sasa Android muache kuiga iga ovyo innovation za watu Source...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Computer ina boot mpaka mwisho lakini baada ya sekunde kadhaa screen inabadilika na kuwa ya blue ikiwa na message ifuatayo ***Hardware Malfunction Call your hardware vendor for support NMI: Parity...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
mwenye nayo ani pm, iwe ya crack, niko dar
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana JF, Computer yangu ina window XP tangu jana nikiwasha inaniletea massage Stop: c0000218 {Registry File Failure} The registry cannot load the hive (file)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wakuu. juzi nilikua bored nakucheza cd zangu za psp nikaona nifanye maujanja ya kuhack, its possible. well ni rahisi sana na inasaidia unakua unadownload iso files nakurun directly kweny...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani hivi nikitaka ku jibu koment ya mtu laivu na kuzisoma post zao nafanyaje naombeni msaada
0 Reactions
3 Replies
837 Views
najaribu kuinstall joomla v.2 katika 1st page napo choose language na kuclick next ina load kwamudamrefu without any result. anybody plz help me natumia wamp v 2.3, php v 5.4, mysql v 5.5
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Habari wana jamvi. Hapa nilipo ninahitaji msaada wa haraka wa mambo 2 1. Namna ya ku-unistall completely IDM from my computer kwa sababu mda wake wa kutumika umeisha. Nimejaribu kufanya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
public class FishTankVolume { public static void main(String[] args) { int width = Integer.parseInt(args[2]); int depth = Integer.parseInt(args[4]); int height =...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Niko na printer ambayo setup cd yake ilipotea hivyo naomba msaada wa jinsi gani nitaipata hata kudownload printer name: Epson aina ya printer ni ME office 560w
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman mwenye SOTHINK DHTML MENU V9.2 MWENYE NAYO JAMAN naomba anisaidie hii software au yeyote ya kudisign web menu. thanx:A S 465:
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Wakuu nimejaribu toka asubuhi bila mafanikio kuinsert roman numerals katika page nne za mwanzo, then page ya 5 ianze na number 1. Maelezo niliyo-google hayanisaidia....kazi nimeifanya kwenye MS...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mtu yeyote ana-uzoefu na matumizi ya ORACLE WAREHOUSE BUILDER katika implementation ya data warehouse? Kuna shule yangu moja nafanya na inahitaji nitumia hii kitu ku-implement a...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
habari wanajf,naomba mnisaidie jinsi ya kuset boot order kwenye samsung netbook n150 ili iboot kutoka kwenye USB,nimejaribu kuingia kwenye bios ila boot priority yake haina sehemu ya kuboot kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jama hivi ile internet ya bure kuanzia saa tano bado ipo?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
waungwana... kulipia huduma ya internet ktk bb kwa sisi wengine ni mtihan so kama kuna muungwana anaejua jins ya kuifanya itumie internet km cmu nyingine nielekezen..
0 Reactions
10 Replies
1K Views
“Yes I was nervous but I had to take it, since I made myself a promise and the training gave me the higher level of understanding and confidence, what I use to hear is some other centers took them...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau msaada jinsi ya ku unlock modem ya zantel ili uweze kutumia line yoyote
0 Reactions
6 Replies
4K Views
naomba mtaalamu anisaidie kunipa key itakayo saidia mimi kutumia modem yangu ya voda kwa laini zote ku access internet.IMEI 356517032175203
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Laptop yangu kila nikiiwasha inaniandikia BOOOTMGR is corrupt. The system cannot boot. Nashndwa cha kufanya naomba msaada wenu wadau
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Back
Top Bottom