Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
ninafahamu sana vitu vingi vya tech lakin hapa nimegonga mwamba, anayejua naomba anipe ufafanuzi. Kuna Simu nataka nunua online inasema ina 3G kwa EVDO lakini haina HSDPA. Je, TIGO/VODA/AIRTEL...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau habari tena, kuna hii site inaitwa hulu iko usa i guess, coz sio rahisi kuangalia video kama hauko u.s... sasa wadau kama kuna mtu ana proxy zetu zile zinazoruhusu kuwatch video za hulu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamv natumia ñokia C5 nataka kujua which applicatiön naweza pata password ya hiyo memory card
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Habar wana wa jf naomben msada wa kuweka program ya kuniwezesha kusikia radio kwa brackberry
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Thanking you in advance
0 Reactions
0 Replies
851 Views
JF wadau wa mambo haya ya transaction ya money online nataka kujiunga nayo sasa nataka kujuzwa namna inavyo fanya kazi kwa sasa natumia kale ka-benki ketu ka "twiga" sasa nitaungwanishawa ivi? na...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Havari za leo wanajamii??? computer yangu juzi hapa nimebadilisha windows ila tatizo nalokutana nalo kila mara napata meesage kuwa windows ninayotumia siyo GENUINE so inabidi kubadili product key...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Maprogrammer nawezaje kutumia printf kwenye java mana kwenye vitabu wanaitumia sana ila kila nikijaribu inaniletea error,kuna nini kinachoweza kuleta error wakati code ipo vyema kwa kila kitu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
niitoe au imekaa vibaya? mboni huwa inatulia, kwa sasa inachora alama ya X pale pale penye kama betry ya tochi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu mwenye ufahamu wa hii kitu nataka niunganishe lcd mbili moja iwe inatoa output picture kwa mwenzie nimeshindwa ninazo singsung lcd msaada wakuu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
na taarifa za kufungwa FACEBOOK imeanzia wapi wajameni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji hiyo kitu haraka. Used yenye hali ya kuridhisha.
0 Reactions
0 Replies
809 Views
msaada kuupgrade version ya android. mwanzo niliupgrade kutoka 1.6 up to 2.1 sasa nataka kupgrade tena nipate 3 version.
0 Reactions
0 Replies
726 Views
wakuu naona operamini yangu haifunction kwenye facebook kila nikiselect facebook Icon ina goma na kuniletea hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu habari za kazi naombeni mwenye llink ambayo naweza kudownload game ya fifa 2010 au need 4speed tafadhali anisaidie nimejaribu ku google inaniletea vitu vya ajabu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hellow wanajf ni vizuri nikashare mazuri na nyinyi website yangu nimehost bure kwenye website ya kirusi wananipa 2gb ya diskspace (kwa blog inatosha kabisa). bandwitch wanatoa 100gb wana fast...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba kujua tatizo ni nini? Natumia Mozila or Google chrome na rarely Explorer kwa ajili ya shughuli zangu za internet. Naomba kujua ni kwa nini nikitumia Mozila Firefox nashindwa ku...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tsup guys, kuna mtu yeyote anaijua web yenye kutoa torrent za kitanzania?i mean kama movie or music kwa hapa nyumbani? Anijuze tafadhari
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau kuna taarifa nimeziskia juujuu tu eti kwamba facebook inataka kusitisha huduma zake hivi karibuni.so nataka nipate uhakika juu ya hili kama kuna yeyote anayeweza kunithibitishia hili plzz...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Binafsi napata vitu viingi sana kutoka thepiratebay.se, Mmoja wa vinara wa TPB Peter Sunde yuko kizuizini kwa kitambo sasa,wadau wameanzisha petition wanahitaji sign 100,000 (laki moja) katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom