Nilikuwa nikiitumia kicheko na mwanakijiji.podomatics lakini kwasasa zote zinagoma kufungua kwenye simu ninayotumia.
Msaada kwa anayezifaham tovuti nyingine tofauti na hzo anijuze.
N.B
Yasiwe...
Wadau simu yangu aina ya NOKIA 1661-2 imejilock yenyewe.Nikiwasha inaniambia niweke security code,ambayo sijawahi kuweka.Nimejaribu kutumia default code bila mafanikio.Je kuna njia nyingine yoyote...
Newly released X-Files from the United Kingdom's National Archives reveal the role of that country's Ministry of Defense UFO Desk officers, what they actually thought about possible alien visits...
kumekua na maendeleo makubwa kwenye nyanja ya technolojia wenzetu huko marekani kwani hivi karibuni wameweza kutengeneza robot mfano wa wadudu wadogo wenye kuweza kuruka angani nakufuata masharti...
ello wakuu, za weekend? ningependa kufahamishwa jinsi ya kuconfigure a single laptop to be used as a main server. kuna a certain database program nimeinstall in my laptop nataka pia watu wengine...
ni kuhusiana na yale mambo yet yale xaxa hapa kwenye simu yangu nimeset poa ila mesej ninayopewa bada ya kuandika pale kwenye hme page ni welcome to ngix.hapa suluhisho ni nini wadau hapa kwa...
Heshima kwenu brothers and sisters.
Nimenunua hiyo Tablet India wakati nipo kule nilikua natumia line ya Tata network kampuni ya kule kwa ajili ya internet.
Sasa nimerudi nyumbani Tanzania...
WANA JF
KWEMA JAMVINII
JAMANI WANA JF WALE WATAALAMU WA IT NISAIDIENI!!!!
NINA LAPTOP TOSHIBA, Satellite, ina windows vista.
tatizo lake ni kuwa, nilitoa Antvirus ya Avast na kuweka nyingine ya...
Nina machine aina ya dell xps 1210 ukiiwasha switch button inaonekana inawaka lakini display haionyeshi kitu,pili nimejaribu kucheki kwenye external display ili kuangalia kama display ina matatizo...
A strong and confidential password is essential, not just for financial sites, but for social networking sites too. With social networking sites like Facebook and Twitter, there's the danger of...
Salaam wakuu. Ningependa kujuzwa kuhus smartphone ya bei nafuu kwa hapa bongo regardless ya OS iwe symbian or android.As long as iwe ina support app ya whatsapp
wadau wa matkenolojia naombeni msaada wenu waina yte nimekwana nina dish na kimamuzi cha strong sasa kuna channel tatu tu zinashika nazo ni atlantic,sport na news basi zingine zte hman kitu mbaya...
Nimekuwa developer wa Joomla websites for sometimes now. But this seems frightening me. Nikitaka kuaccess Joomla back-end Login Form (Screen) haitokei napata sms
Joomla! Administration Login...
uwepo wa google unawapa recovery ya fast
Motorola officially announces the Atrix HD LTE
1. Android 4.0
2. 8MP primary(1080p) and 1.3MP secondary
3. 1.5GHz dual core processor
4. 4.5-inch...
Wataalamu hebu nipeni maujuzi,nimenunua Blackberry bold 9900 kuna mtu kaniambia kuwa ninaweza nikaifanyia settings ambapo mtu aki iba ninaweza kuipata pale alipo,hii inakuwaje,mwenye kufahamu ani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.