Heshima mbele wakuu!
Natumia window 2010, kuna wakati nilitaka kuweka program fulani technician aliporudisha Window ikagoma ku activate
Naomba msaada wa kuactivate window 2010
i have a Toshiba satelite a300 model. The laptop restarts when connected to a power cord.Can anyone tell me whats causing it to restart?At first i thought the sink and fans are clogged with...
WAKUU HABARI
nimepata solution ya ku unlock hizi modem mpya za tigo E153 na zile za safaricom ya kenya na hizi airtel mpya za E173 ambazo hata temporary unlock zilikuwa hazitaki. sasa imepatikana...
RIM = Research in Motion, watengenezaji wa Blackberry.
RIM wametangaza hasara ya $518 Million.
Wanafukuza watu 5,000 kazi kupunguza gharama za uendeshaji.
BB10 simu mpya yenye OS mpya, ambayo...
Kwa wana Jamii na watanzania wenzangu ulimwenguni kote.
As a responsible citizen nimeamua ku-share elimu ndogo inayohusu Cyber Security ambalo ni eneo langu kiutaalamu.
Kumekuwa na various...
Naombeni msaada wa haraka wataalam humu jamvini,kila nikitaka kulog in kwenye facebook account yangu inalog in lakini baada ya kama dakika moja page ya facebook inapotea na kufunguka...
za jumapili wakuu..nahitaji kununua smartphone kutoka IT-DEPOT kama kuna mtu ameshawahi kufanya biashara na hawa jamaa ON LINE anijuze tafadhali kwa anayefahamu hili.natanguliza shukrani kwenu.
wakuu mambo niaje? naomba kuuliza hivi kwanini mitandao yetu ya voda, airtel zantel na tigo hawana 3g wilayani? nipo mkoa wa kagera kama wiki tatu hivi kikazi lakini ukiwa mkoani pale Bukoba...
Morning members?
Kuna a "shareware" nikimaanisha trial software, ambayo inafanya hiyo kazi ya kuprevent disconnection. But wanatoa 30 days trial & na wanauza kwa $15 Dollars.
Google hiyo...
Mimi ni mpenzi wa movie, nimedownload movie ambayo ipo zipped and password protected, sina hata hizo password. Naomba msaada ili niweze kupata raha ya movie hii. The name of the movie is '...
Having trouble with your computer? You've come to the right place. Even if you don't know a computer language (or want to), you can solve several common PC problems on your own.In this article, we...
Ndugu wadau nasikia kuna technolojia ya kuhifadhi document kwenye open space! Nihitaji kupewa details hii technology inafanyaje kazi na ukitaka kuitumia unaitumiaje. Tafadhali mweye ufahamu share...
Habari zenu wana tech &gadgets,
Nina modem ya voda. Nimeitumia huu ni mwezi wa pili sasa, lakini inaanza ku-gererate errors za ajabu. Nikiiweka kwenye laptop yangu inaleta error inayosomeka:"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.