Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
I salute you all! I 've been wondering for a long time how to put pictures and other things on the body of an e-mail. I 'm not referring to a separate attachment. Unfortunately, most web bised...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
helo wadau, nina camera ya sony (SONY DCR-HC21E) zile zinazotumia mikanda midogo (sio memory card), nimeiunga kwenye computer haisomeki japo komputer inatoa mlio kuonyesha kuna kitu connected...
0 Reactions
3 Replies
926 Views
Hawa ni Wezi wa kimataifa Bado watu hawaja wastukia tu? Wa Nigeria wameniletea Barua yao hii kwenye Email yangu jamani kuweni Waangalifu sana na hawa Wezi wa kutumia internet Scam hebu someni hii...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
program ya java ambayo unaweza kukonect internet msaaada plz sana jf
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kama kuna mdau ana software ya kudizaini paa la nyumba katika 3D format, naomba anisaidie tafadhari!! Nataka software ambayo ni rahisi kutumia, isiyohitaji degree ya architecture au...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
1. recent news zinasema kwambba mauzo ya iphone 4 yamekuwa greatly affected na samsung galaxy na hivyo iphone kupata fundisho kwamba soko la simu sio la kuongeza vitu vya kawaida kama picha na vi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
freq ambazo tunaweza kuchakachua kupata chanel za itv na star tv kwenye king'amuzi cha startimes jamani kama kuna mdau anazifahamu atuwekee nasi tulioko dodoma tufaidike
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni muda sasa siwapati hewani hawa Tone Radio (Online radio from Mwanza). Mbona mpo OFF AIR, mnarudi lini?
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Habari wakuu, sony Xperia X8 inauzwa kwa shilingi laki 3 na nusu. Mpya haijaguswa kabisa. PM kama upo interested. Inatumia android the lastest firmware and a very fast internet speed! Sarcastic...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani wakuu naombeni mnisaidie kwa hili nina shida sana,browser yangu ipo too slow nashindwa kuprocess mambo kabisa,naombeni mnisaidie!NATANGULIZA SHUKRAN
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu blackberry yangu inawaka lakini haidetect network yoyote hata ukibadilisha LAINI tatizo nini na nifanyeje?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Boniface Meena WIZI wa Kimafia unaofanywa kupitia mitandao umeichanganya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuamua kuita kampuni zote za simu nchini, benki pamoja na mamlaka nyingine za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari JF dell latitude D531 napokuwa nafanya kazi au kuangalia movie imekua ikiganda au ku stuck mara kwa mara nini tatizo au nifanye kipi niondokane na tatizo hili msaaada pleaz
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu wana jamii forum katika safu hii, naomben msaada, laptop yangu aina ya toshiba inaonyesha alama ya x ya rangi nyekundu kwenye screen ya baterry highlight. ma yanatoka maandishi yalio kwenye...
0 Reactions
2 Replies
898 Views
Natumaini mko poa wana JF! Naombeni website/link nidownload free java games nzuri Natumia NOKIA 5130 Msaada wenu tafadhali!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba kuuliza kuhusiana na facebook, utaratibu wa kuweka picha ukoje? je kila mtu ana uhuru wa kuweka picha yoyote aitakayo? ninauliza hivi maana kuna huyu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni hivyo Vi Sms vyenu Mnavyo Vituma tuma Siku Nzima! Mara Tigo Bima, Mara Coco beach, Mara Ongeza Salio. Acheni izo.
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Nimekua nikijiuliza huwa yanatengenezwa vipi mpaka yanawekwa barabarani mfano mabango ya mitandao au vinywaji. Kwahiyo kama unafahamu fanya kujibu hili swali na utanisaidia sana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kati ya adobe photoshop, adobe photoshop cs 4, adope photoshop cs 5 na adope photoshop cs 6. Kati hizi ipi nidownload.
0 Reactions
10 Replies
697 Views
Habari wana JF naombeni nisaidiwe YOUTUBE DOWNLOADER....
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Back
Top Bottom