Nna ombi.. mtuwekee subtopic sie tunaopenda graphics na webdesigning, photo manipulation, photoshoping, tuonyeshane ujanja, tuweze kushea psd files, etc, na mengineyo
Ni hayo tu
Wakuu
Moderm (Airtel) imeanza kuniambia 'there is no disk in the drive. please insert a disk into drive/Device/harddisk1/DR5' kila ninapochomeka moderm. Ilianza na flash na sasa moderm nayo...
Heshima kwenu wakuu, naombeni msaada wa kupata kitabu kinachoitwa "Making microfinance work: managing for improved performance" kilichoandikwa na Craig Churchill, Cheryl Frankiewicz katika pdf...
wakuu naweza vipi ku post caption ya screen???????
sijui nimeeleweka??
yani una capture display ya screen yako inakua kama ni picha na una i post labda kama una mpa mtu maelekezo, lets say...
Habari za lep wakuu.
Ni kwamba computer yangu (laptop) inatatizo ambalo kwa muda mrefu nimekuwa najaribu kulitafutia ufumbuzi lakini nimeshindwa.
Ninapokuwa katika internet kwa kutumia...
University of Dar es Salaam College of Engineering and Technology (CoET) yesterday unveiled its new Non- Burn Medical Waste Disposal Technology, central for health and environmental protection and...
Ukiangalia windows 8 by default haina start button, hii inafanya iwe ngumu kufanya quick access ya programs. Njia rahisi at least kwa sasa ni kutumia small application inaitwa START8 Hii...
naombeni kwa anayejua namna ya kudebrand dashboard ya modem(vodafone k3565-z),ofkoz modem iko onlocked shida ni kukonect internet kwa kutumia line tofauti na vodacom,niki2mia dialup conection...
Nimejaribu kupitia baadhi ya mijadala na pia kupata uzoefu katika mada au maswali niulizayo humu.
Ila kunabaadhi ya watu wanazodoa badala ya kukuelimisha. Binafsi natumia jukwaa kujipatia...
Nimenunua simu nokia 500 na siku nilipo ingiza line yangu ya tigo nilikua nina chat na jamaa yangu mmoja hivi kwenye simu nyingine.. nikachomoa line kwenye hiyo simu na nikaiingiza kwenye nokia...
-Wakuu habari zenu? Tafadhali naomba msaada, nime-install huawei e173(airtel) kwenye pc yangu(window 7 ultimate) vizuri kabisa na modem inakua detected, dashboard ya airtel vilevile inaisoma modem...
Kwa mahitaji PCs,printers,scanners,cameras, cables,servers,softwares na mengineo brand new kwa bei nafuu tofauti tuandikie sales3@orange.co.tz.
:wink2:
Em jamani angalieni hii site mpya.. Kati ya site za bongo nlizokua napitia, nimeipenda sana hii na nataka nimtafute Designer wake... Au toeni comment www.wemasepetu.co.tz/wemasepetu.html
Nimeangalia www.goddady.com na wao wanatoa kwa 2.7$ kwa mwaka. Ila nataka kuwaunga wabongo wenzangu, so itakuwa poa kama nikipata nyumbani kwa bei yenye uwiano.
Wakuu habari za mida,naombeni msaada kwa wanaoifahamu vizuri hii lnb ya SINGLE SOLUTION inafanyaje kazi na sehemu zipi na ipi tofauti yake na hizi c-band lnbf za kawaida na ili ifanye kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.