Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wadau, natumia wireless internet ya ofisini ambayo natakiwa kulog in kwa user name yangu na password yangu. hawa jamaa wa it wameweka restrictions na hakuna kutumia mitandao ya kijamii kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kitaalam sim yangu ni N95 haionyeshi kituchocho zaidi ya mwanga tu! Nisaidieni jamani tatizo nn?
0 Reactions
9 Replies
938 Views
Simu yangu ina shida nilikuwa naitumia vizur ila gafla ikazima now nikiwasha ina load ikifika katikati ina stop haiendelei wataalam naomben msaada.
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Hellos! nahitaji msaada kwenye ipad ambayo imekua kama imelock na inadai password inaandika "Enter password for the CardDAV account "Yahoo" " ilianza kuleta hiyo message toka jana nikaachana nayo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wenzangu watumiaji wa Zuku kutwa nzima leo sipati channeli ,ni kwraaa kila wakati,ni kama TBC wanavyotangaza habari,hali hii ikiendelea naenda TCRA nikawashitaki hawa jamaa kwani hela...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wana jf hz modem za huawei nying zna kubali ku2mia line yoyote endapo utakuwa umepata unlock code yake kupitia universal master code lakin hi imepgoma msaada plz ni e153
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimejaribu kuinstall hyo latest version ya ubuntu nimefuata procedure zoooote lakini mwisho wake inaniletea message hyo kweye image computer in dell latitude D620 Core 2 duo (processor) 60 Gb...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inasemekana huo utaalamu wa kuonyesha mazingaombwe ya kuchinja mtu na kichwa kukiweka pembeni tena kwenye sinia au sahani ni utundu ama ufundi wa kujua kupanga vioo ndani/eneo litakalo husika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wana jamvi naomba msaada wenye ujuzi na fani mbalimbali naomba.Ikiwezekana fani ijikite by using computer.Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa wale wanaotumia voda kuanzia saa 6usiku - 1asubuhi kwa Tsh 300. Kujiunga piga *300reli
0 Reactions
26 Replies
5K Views
How to Write the Text automatically in Notepad Today I will show you " How to Write the Text automatically in Notepad" . This is a really an Awesome Trick. You really enjoy it... You can show...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Nadhani wengi mnajua au mlishawahi sikia kuhusu installation DVD za windows 7 ambayo ni universal. Yani kama ni windows 7 32 bits wakati wa ku install inakuletea options za kuchagua kama wataka...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
wana jf ina maana hii link ya lile game la kumvua mwanamke nguo bado haija patikana humu jf ahhhh aacheni utani bana hebu tupieni hapa hiyo link au jina ya hilo game tujaribu ku google bana
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba yeyote mwenye key za dreamweaver 8 anisaidie
0 Reactions
1 Replies
788 Views
jaman nimedownload opera min na uc browser kwenye hii samsung.but nikiopen uc browser inaload tu na opera inanambia ni review my network setings..kusema kwel sina mazoea kabisa na samsung...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Wakuu, hebu tudadavue kidogo hili swala! IPAD 3 na ASUS TABLET COMPUTERS zina tofauti gani? bora ni ipi? Zinaweza kulinganishwa au kutofautishwa vipi katika katika ubora, utendaji, nk Ikiwa mtu...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
jaman hii samsung yangu nimedownload opera na uc browses lakin nikifungua uc browser inaload tu na opera inaniambia nireview my network setings..naomba kama kuna m2 mwenye uzoef na hii model...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
mtakumbuka nokia ya mwisho ya tochi tuliekewa redio atleast na sisi masikini tukawa tunapita barabarani tumevaa earphone tunaskiliza redio kwenye visimu vyetu vya tochi nokia 103 Nokia kuna...
5 Reactions
19 Replies
6K Views
JF heshima mbele naomba msaada jinsi ya kuweka screenshot kama sijakosea jina yaani kuhamisha muonekano wa web page ninayo browse nikaweza kuiweka kwenye ujumbe kama hapa ninapoandika mtu akaweza...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
sorry guys,av cleared this 4 privacy reasons,anyways u can just PM and i will help ya provided ur a good guy NICE TIME:coffee:
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom