Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ps3 yenye 500gb, 4gb ram, 2 controllers, zebra skin cover and one cd ..... Kwa laki 8
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wana jf hawa airtel ni wazushi kwenye tangazo lao wanasema buy airtel modem for 30000 and get free internet for 6 months. Na vigezo vyao ni kwamba utumie si chini ya 6000 ili upate hiyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ey tsup jaman nisaidien mwenzenu nashidwa ku upload pdf files in my blogspot and facebook naombeen msaada....
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Kila kitu kilikuwa sawa, lakini tangu jana Laptop yangu imekataa kabisa kufungua videos za aina yoyote za Internet. Nimegusa pasipotakiwa au imekuwaje. Naomba msaada wenu wataalamu na wajuzi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Support !! Nna BB 9800 torch ...inashindwa kuplay yotube video nashindwa kuelewa ni kwann !! Service provider ni Tigo !! na application zote husika !! Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nn haswa ...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
IMEI code :- *#06# Help Menu :- *#9998*4357# Java menu (GRPS/CSD settings for JAVA server) :- *#9998*5282# Monitor Mode:- *#9999#0# Software Version :- *#9999# or *#9998*9999#...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Can smbody out there plz help me with codes za ku-update my antivirus za kerpesky 2012. Niko porini huku nahudumia wadanganyika na cna mchongo wa kuja mjini karibuni. Thanx in advance
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am doing a research on the interconnect switching technology applicable to financial institutions similar to The Umoja Switch Project where by; business transactions from various banks/financial...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
hey wajamen my blackberry 8900 inatatizo la kupokea sms but naweza ku2ma nisaidien plzz nifanyeje
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Wadau natafuta LCD (kioo) cha simu hiyo hapo juu simu inawaka lakini haionyeshi kitu fundi kadai LCD mbovu nimetafuta sijaipata nawezaipata wapi nipo Mwanza
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Habari zenu,mi naomba kwa yeyote mwenye utaalamu na compressor anaisaidie,friji yangu imeharibika hiyo copmpressor sasa mafundi wameniambia zipo used na mpya je ninunue ipi tafadhali nisaidieni.
0 Reactions
1 Replies
750 Views
wana jamvi naomba mtu yoyote mwenye ujuzi wa kuchakachua moderm hizi 1.(voda)ZTE model: k3565-z 2.(airtel)HUAWEI model: E173 Natanguliza shukrani kwenu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wa Mtandao wetu makini wa Jamiiforums naomba mnisaidie,katika mtandao wa Facebook ukitaka kutoka unafanyaje wakuu? tafadhali naomba mnisaidie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta kwa masomo haya(ADV. DIPLOMA) Database Design and Development(DDD) Office Solutions Development(OSD) na Dynamic Website(DW) mwenye nazo anijulishe niko teyari kuzinunua
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni movie ya 1.5GB nadownload kwa aproximation ya dk 20 nipewe nn tena. Na link ni hii hapa na ww jaribu kwako. Mie natumia Zantel...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
hello naomba msaada ... ni deactever acount yangu kwenye facebook lakini bado sms zinakuja kwenye simu yangu!!!... sielewi..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninasimu sony k850i,tatizo ni jinsi ya kucomfigure internet,nikiiseti inakataa,
0 Reactions
5 Replies
878 Views
Je wajua Lini tutafika sisi watanzania..tumesukuma magari,pikipiki,,,sasa tuko next level ni flight tu.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
kuna channel ya startimes inayoonyesha haya mashindano?
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Hivi hii Replay path ni ya nini kwenye setting za meseji kwenye Samsung?
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Back
Top Bottom