Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
young people today learn IT very early :msela:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello wana forum,kama miezi miwili iliyopita nilipata link ya theft aware nikaidownload na kui activate kwenye simu, na ikawa kwenye stealth mode(haionekani kwenye menu ya simu). Tatizo ni kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
oya magreat thinker ehhh,naombeni mnidondoshee keys za kaspersky ya 2012,nimedownload net napata nyingi nyingi ila zote miyeyusho tu,najua kuna wenye nazo nisaidieni bac mazeee manake kikmpyuta...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
I have got a new i-phone 4s, But I can't do much with it more than phone calls and sms! I have tried some functions like internet---is too slow! Camera--photo quality poor! Sync with my computer...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naomba kama mtu aliye na soft copy za kitabu cha sensa ya taifa animwagie hapa,pia kwa wale watafiti je hapa TZ tuna asilimia za madaraja ya watu(social class) kwa mfano ma A,AB,C1,C2,D na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, mimi natumia simu aina ya NOKIA, ambayo ina uwezo wa kuwa na internet. Sasa nafanyeje kujiunga na mtandao?? natumia laini ya tigo. Naombeni kwa anayefahamu anaisaidie kwa hili. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu nilinunua PC kwa wahindi miezi mi 3 iliyo pita. kila ninapo fungua inaniambia This window 7 is not Geuine please install a genuine one. Kila ninapo jaribu ku install inanipa option ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nataka kujifunza programming language kidogo, its my hobby and also i have plans. Sasa nimeanza kwa kutaka kujifunza JAVA, ebana hii kitu i dont think kama ni nzuri kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jamani kwa yeyote anayeweza kuwa na key ya avasti anti virus naomba anisaidie pliz.
0 Reactions
4 Replies
780 Views
Wadau husika na headin above....mm ni mgreater thnker mwenzenu, nataka kupachase moderm ya airtel, naona kuna hizi za promotion na zile za elfu 70, naomba kujua utofauti wake jaman.
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Wataalam hamjambo?Nahitaji kuanzisha biashara ya kuflash simu za za mchina na Nokia original.Je ninunue nini na nini kutimiza malengo yangu?je vifaa vinavyohitajika ni kwa gharama gani?Computer...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
wakuu nawasalimu, natafuta betri ya computer aina ya sony VAIO, model PCG-5J2L, nipo dar, mwenye kujua duka linalouza hizi bidhaa na bei zake jamani nimechoka kutumia laptop kama desktop, naombeni...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Njia rahisi ya kuondoa watermark upande wa kulia chini ni kutumia small software inaitwa MY WCP WATERMARK EDITOR u can google it, ni rahisi kuitumia. Unairun kisha una restart ur pc na tayari...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
camera yangu digitali imekuwa inashindwa kufunguka kila nikiiwasha zoom inazunguka inafika nusu inarudi halafu inazimika,msaada tafadhal,natanguliza shukran
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Follow the link: http://www.makeuseof.com/tech-fun/phd-in-googling-interactive-infographic/
0 Reactions
0 Replies
738 Views
je una idea za kutengeneza windows apps lakini haujui programming! Basi jua kuna software unaweza kuitumia kutengeneza apps bila kucode, inakuwa kama unatumia microsoft office kutengeneza apps...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
freq ambazo tunaweza kuchakachua kupata chanel za itv na star tv kwenye king'amuzi cha startimes jamani kama kuna mdau anazifahamu atuwekee nasi tufaidike
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Naomba kunielekeza namna kuingiza matangazo katika flash dispay na kutoa maana designer wangu amehamia Nairobi kabla hajanielekeza kufahamu hivyo
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Namba kufahamishwa uimara,quality na bei ya simu N95,ukilinganisha na simu nyingine??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
simu hii inafaa kuweka blacklist ili niweze kuzuia namba fln isinipate?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom