Wadai anayejua software ya blackberry ambayo naweza ku-subscribe kwenye rss feeds kama jamiiforums naomba anisadie..Nimejaribu kudownload kadhaa naona nikiweka url ya jamiiforums naambiwa...
Simu yangu ni sumsung GA867 nataka kuacces airtel internet lakin mpaka usave katka browser profile! Ya tigo nimeweka znakubali vizuri lakini ya airtel sizifahamu! Anayezifahamu browser setting za...
Naomba kujuzwa simu kali za zilizo kwenye chat kwa sasa maana nimeambiwa ni bb torch na sumsung galax je ni kweli? Na kama kweli ni ipi bomba zaidi. Asante.
Baada ya kuinunua kampuni ya Meebo, Google wameamua kusitisha huduma zake za Meebo Messenger.
Huduma zitafungwa rasmi July 11th 2012, hii ni pamoja na Mobile Apps zote za Meebo...
Ngugu,
poleni na majukumu yenu yanayowakabili kila siku. Naomba msaada wa cd key au any genuine key ya windows 7.
Napata taabu sana kila siku natumia windows 7 loader na Remove WAT lakini kila...
wadau hii huwa inanisaidia kwani inaplay files za aina zote, tatizo ni kwamba niki install, program mpaka file zote zinafunguka na vlc...mpaka nikifungua browser inafungukia kwenye vlc player. Je...
wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK
wadau kuna ka software kana uwezo wa kui tunnel internet connection yako unavyotaka mwenyewe. ina support host TCP na UDP protocols. unaweza ku bypass firewall na restrictions.
wanatoa 15 days...
hii ni new messenger kama watsap na nimbuzz sema imeongezeka features kidogo.
Ina vitu muhimu vi tatu mpaka ikanivutia kuipost hapa jamii forums
1. Utatuma message na kupiga simu bure kwa...
Habari yenu wadau!
Natafuta kifaa kinaitwa "CABLE MODEM"... Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kwa hapa Dar; but nobody has it or even seem to know it... Nimeweka picha ya hiyo device hapo...
PES 2012 Hususani wanayoitumia kwenye computers huwa inafreeze ikifika ila sehemu ya avatar editing...mwenye solution ya hili tatizo naomba msaada plzzz!!!
Habari za wakati wakuu!?
Nna cm yangu (NOKIA 3120classic)
shida ni kwamba kila nikitaka kudownload Game la GTA IV (1303 kb)
linagoma naandikiwa "file is too large to be stored"
nifanyeje ili...
natumia nokia e51 ila kila nikitaka kutumia au kubrowse mafail yaliyopo kwenye memory card kwa kutumia usb inaniandikia memory card is being used by another aplication...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.