Wadau hiyo ndio meseji napata nikiwasha pc yangu ilitokea baada ya ku-restart windows to apply updates! Help please.
Ni pc aina ya lenovo T410s, haina CD drive! chief-mkwawa shalobaro...
site ama torrent site gani naweza pata download java na PHP video turtorials sanasana zilizoelezewa na hao cbt nuggets ama lynda.? na pia kama unajua watu wengine wanaoelezea vizuri hzo tutorial...
For sure, blackberry is nice smart phone, cheap sometimes and easy to use!.
When it comes to internet service I hate BBerry because I have to pay 35000 for my phone to be connected to internet...
wakuu,
imezoeleka mtu anapoformat computer, hata kama alizifuta data zake zote, lakini akifanya back up, data zote anazipata. swali la kujiuliza, unapofuta, data hizo zinaenda wapi?
na kama data...
Habari zenu wakuu. Naomba mnisaidie nina shida ya kufungua inbox sms kwenye simu ya sony ericson P990i. Kila nikifungua inanipa ujumbe wa "APLICATION CLOSED" reason code 130.
I recently got a page which sells mobile phones in UK and quite frankly the prices are a bit scary so i wanted to know if anyone has already tried buying and succeeded because you have to pay...
Wadau wa Science on JF,naomba kwa anaeweza anisaidie hili,Nina simu ya BlackBerry,sasa tatizo lake ni kua nikijiunga na bundle ya internet zile service books haziingii katika simu after...
There could be many reasons why youd want to troubleshoot your computer, well, one actually and thats because something is not working right. The process of troubleshooting is something you...
Heshima kwenu wataalam,
Mimi nimekuwa nikijaribu in vain muda wote kudownload watsapp application kwa simu yangu LG X330T..nikaambiwa eti watsapp haikubali kwa simu za java.
Je,hadi sasa...
Salaam wadau
Kama swali linavyojiuliza...eti information ambazo ume-burn kwenye CD zinaweza kuwa-attacked na computer viruses, naomba elimu kwenye hili!
jaman mm leo katika kuperuz in different blogs nkaona hii kitu. Kuna anae ifahamu hii !
[okkomadewal.com/2012/06/change-your-desktop-as-3d-shock-desktop.html?m=1]
:ranger:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.