One of the rarest celestial events, the transit of Venus is on Tuesday. If you miss seeing the far-off planet crossing in front of the sun, you might be out of luck: it won't happen again until 2117
Heshima mbele sana wanajamvi, naombeni msaada namna ya ku-unlock hizi modem mpya za airtel, modem yangu ni Model ya E173u-1. Nimejifanya mgumu wa kuto hama lakin sasa maji yameshazidi unga. Please...
Kiukweli Rolltop is actually a folding computer concept that resembles with a roller painter, when unfolded through a similar action of a roller painter, it turns into an all through touchscreen...
Dear Friends in JF, I badly need your help!!
I know JF is full of great thinkers.
Mtu kaniletea simu SAMSUNG GALAXY Gio GT S5660M toka Canada.
Kwa bahati mbaya hii simu iko locked ili itumike...
Wadau habari...
Naomba kujuzwa vipi naweza ku connect blackberrry curve na cable,ili niweze kupata huduma
ya internet ktk pc yangu, au nitumie software gani....
Thanx in advance
Heshima Mbele!
Kuna vijana ambao walikuwa wanafanya selection ya vyuo vikuu na kuhitaji msaada kutoka kwangu kuhusu utafauti wa IT na Computer Science interms of content and which is more...
Kwa wale wapenzi wa TV stations, tumia internet TV kupata free TV stations buree, iNGIA google, Type TVU, ITAKULETEA download TVU software. Download then run, furahia ulimwengu wa digitali. Ni...
Wakuu, naomba kwa yeyote anayeweza ku-activate au kuunganisha Ipod touch kwa Wifi kwani yangu inagoma japo nipo sehemu yenye Wireless connections....Natanguliza shukurani!!:sleepy:
Kila nikijaribu ku-connect inakataa na kuleta ujumbe huu; "access was denied because the user name and/or password was invalid on the domain" na baadaye "the ppp link control protocol was...
kwanza nawasalimu sana ndugu zangu tatizo nolilonalo naitaji site za kudownload muv through idm ila kwa kutumia proxy alie na utndu huo anweza kuni pm au atavopenda ila naitaji sana jamani...
Heshima kwenu.
Mi naomba kufahamu kuna uhusiano gani kati ya matumizi ya umeme na the so called "tariff"?
Ukiangalia risit za kulipia LUKU, chini kabisa kuna sehemu imeandikwa tariff...
Hii laptop inapata moto sana, imepungua speed ya kufungua mafaili na kudownload, inagoma kuinstall antivirus na inavuma kwa sauti sana. Nimeitumia kwa miaka 4 sasa na ilikua safi kabisa, matatizo...
Habari zenu, nimeshangazwa na hizi laptop zangu 2 moja ni Dell Latitude D630
na nyingine ni Dell Insipiron 6000. Huwa nikiweka modem kwenye D630 inashika
vizuri kuliko Inspiron 6000 ambayo huwa...
nilikua natumia tab yangu ya acer iconia A200 jana, ikawa betry low (5%) so nika plug ktk charge then nikaendelea use. baadae kidogo nika switch off (ikiwa bado ktk charge) then nikaiacha kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.