Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jinsi ya ku connect ideos na vodacom internet
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Helow greaters, huwa watu wanaweka misaada mingi humu, mi nae cna uchoyo, kwa wale wenye cm download browser inaitwa UCbrowser...ukiisha iweka fungua homepage, then nyuma ya chata ya facebook...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hamna haja ya kuhangaika na Ad-Hoc tena. Pia unaweza share kama Wi-Fi Access Point kama una w7 na inafanya kazi na Adroid phones pamoja na Blackberry. So hamna haya ya kupoteza hela kununua Mifi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenyu wana jamii kama kawa nimekuja na vitu ni share na wanajamii wenzangu nimeona ili tatizo hau hii kitu kimetesa sana watu sana sana walionunua modem za tigo hivi karibun na kutaka ku...
10 Reactions
33 Replies
8K Views
wadau naombeni mnihack kama mtafanikiwa anzisha post U ARE HACKED kwa kutumia user yangu humu plz guys plz mtu wa ktwanza vocha 2000
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Please guys help,nime google na ku google nimetoka kapa,please help nataka ku save cost za kununua fax machine!
0 Reactions
2 Replies
982 Views
kila nikijaribu inaandika attachment na mi nataka mtu aone picha bila kufungua iyo picha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau naombeani msaada wa kupata Display ya TOSHIBA satellite L500 ya inch 15.6. kama unayo ww au unaweza kunipa mwongozo napoweza pata hapa DSM itakuwa poa. Call 0714472920
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Probably and just not necessarily true lakini ni notion ambayo, labda kwa uvivu tu au kutokutaka kushughulika, vijana (sio wote) hasa wanafunzi wa Kiafrika wanayo. There are those who argue that...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina camera yangu aina ya Nikkon lakini nikipiga picha haziendi kwenye memory card, pia haitoi flash light.. Naomba kwa anayejua anisaidie nifanye nini..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari jf, Ningependa kujua kama kuna mtu ana habari juu ya nini kinaendelea huko katika yahoo kwani ni wiki sasa haitaki kuniruhusu ku sign in, kuna mwingine ana-experience the same au ni mimi tu?
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Wataalamu naomba mnisaidie hili, hapa ofisini mi natumia computer HP with window 7,shida yangu ni kupata recent documents za WORD ambazo nimezifanyia kazi karibuni, labda jana tu jioni. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataka ku nunua moja wapo :ivyo naomba kujua ipi ni best phone intems of price, na uwezo wake kwa ujumla Msaada plz
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wanajamii nitaweza nika install version ya 4.3.3 kweny ka iPhone Gs kangu? au ni version gani nzuri(isiyokuwa na usumbufu) wa kuinstall kwa hii iPhone? msaada tafadhali currently simu ins version...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
pc yangu haipeleki moto ktk monitor ukiwasha inawasha kama indicator ktk kile kitaa chake....... hii monitor ukiunga na pc nyingine inawaka.......tatizo nini wakuu?????
0 Reactions
1 Replies
686 Views
DELL LLATITUDE D610, RAM 512MB, HDD 40GB, PROC. 1.7GHZ BETRI INAZINGUA HAIKAI MORE THAN 15min, IPO KTK HALI NZURI, USED. BEI THS. LAKI 2.5 TUUUU. 0759950757 PA1
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani kasimu kangu ni aina ya SAMSUNG GT-C3212. Huwa baada ya muda fulani kuna ujumbe unaotokea unaosema DNS unavailable, then nabonyeza ok, message inaondoka, lakini baada ya muda fulani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaman cm yangu wap yake inafail kukonect internet, inaload kwa mda mrefu halafu inaleta msg "request time out" japo jana ilikuwa fresh hapo awali
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Ninatumia reciver ya media com 910 kupitia LNB ya C Band ya juu inakopatina ALJAZEERA nimeweza kupata channel za ziada na signal zake ziko full kuanzia signal 50% hadi 98% lakini zinatoa message...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nina simu ya iphone 3, niliidondosha sasa touch yake hai sense chini ina sense juu tu je kuna fundi anayeweza itengeneza?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom