Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Instagram inaongeza kikomo cha urefu wa video zinazoshirikiwa kwenye kipengele chake cha Hadithi kutoka sekunde 15 hadi dakika 1. Hapo awali, video za dakika moja zilizoshirikiwa kwenye Hadithi za...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2 kwa watumiaji wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 zote; ili kurekebisha matatizo ya Kamera za iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max. Siku chache zilizopita baadhi ya...
2 Reactions
0 Replies
588 Views
Kuanzia mwaka 2023; watumiaji wa smartwatch za Fitbit watalazimika kutumia akaunti ya Google katika kujisajili kwenye vifaa vya Fitbit - smartwatches na fitness trackers. Fitbit ni brand kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
wakuu naombeni msaada natumia iphone XR nahitaji kutumia free net mana bando limekua garama sana naukilinganisha nahali yasasa, so mwenye vpn yeyote ama app yeyote inayoweza ku acess free net...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
wakuu poleni n majukumu. wataalaamu kama kawaida tusaidiane hapa wenye uzoefu, hivi ni bora ukatumia premium template ya blogger then ukatumia na custom domain au uhamie tu moja kwa moja...
0 Reactions
2 Replies
551 Views
Wakulungwa,leo nimeamuwa kuwalete picha hizi za ULta wide Hdr tuzifanyie conclusion nani kauwa zaidi kwenye hizi Flagship 3 Chief-Mkwawa
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Namna ya kununua app kwenye play store ni procedure zipi zinatumika??
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Kuna swala linanisumbua hapa kidogo.. KWA ANAEJUA HILI ANIFAFANULIE ILI KUOKOA GHARAMA ZA UMEME.. 1. Mfano. Una Friji inayotumia umeme wa AC V240 na una friji unayotumia umeme wa DC 12V. Hii ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau, Kwa solar ya wat 30, battery N18, ninaweza kutumia hizi Tv ndogo (12V) ya inch 15 ya sola, pamoja na kingamuzi cha Azam?
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Wakuu naombeni msaada wa kujua mashine ya kugundua matatizo ya simu inaitwaje na upatikanaji wake kwa dar maana hapa dodoma najua siwezi ipata Naombeni msaada tafadharini
1 Reactions
7 Replies
478 Views
Habari ya jioni wapendwa Kuna kaofisi nataka kufungua sehemu ila umeme hamna nataka kutumia sola ili iweze kusukuma friza la boss lita 230 lengo nataka kufahamu ninunue bettry ngapi? Betrry...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habar wakuu! Walengwa nadhani mmeelewa! Tatzo n simu yangu iphone je hakuna app za free internet za iphone Kama huelewi apo we basi🤣
2 Reactions
8 Replies
864 Views
1. Kabla bado unajifunza, pendelea kupiga codes kwa mkono, usitumie WYSIWYG apps kama DreamWeaver mapema. Zitakusababishia kutoelewa HTML, CSS codes kwa ukamilifu au kwa haraka, hivyo tumia...
4 Reactions
1 Replies
463 Views
Uamuzi huo umetolewa na Mahakama baada ya kampuni hiyo kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) iliyoanzishwa na Mwanajeshi Mstaafu aliyekuwa na lengo la...
1 Reactions
4 Replies
989 Views
Hello Tech, Someone to help please. I'm using WordPress but recently this massage appared. "This site can’t provide a secure connection afyapin.com uses an unsupported protocol...
1 Reactions
4 Replies
377 Views
Kama Ni kweli wataalam wa anga naomba mnijibu maswali yafuatayo: 1. Kifaa kinachowapeleka kitasafiri kwa muda gani kutoka uso wa Dunia mpaka Sayari ya Mars ? 2. Je Hali ya hewa ikoje huko kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
592 Views
Habari wakuu. Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Tatizo nini ndg
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom