Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama kichwa cha habari kinajieleza hapo mjuzi wa mifumo hii na anauwezo wa kuunda aje pm tuyajenge
1 Reactions
6 Replies
823 Views
Wakuu, Uhacker ni kipaji cha kuzaliwa au ni kitu chakujifunza!? Kama ni cha kujifunza nisome kozi gani ili niweze kuwa hacker!?
2 Reactions
142 Replies
25K Views
WORLD IS GOING CRAZY,MURDERS,SUICIDES,IMMORALITY AND OTHER UNEXPLAINED BEHAVIOURS AND DECISIONS ARE ALL AROUND US.COULD GALACTIC, SOLAR AND GEOPHYSICAL INFLUENCES ON HUMAN BEHAVIOR BE...
0 Reactions
2 Replies
397 Views
Wakuu habari zenu Nahitaji kujua hii kitu kweli inafanya kazi? Kwa mwenye ujuzi/uzoefu na ameshawahi kuunlock kuna madhara yoyote? Ninataka kuunlock Redmi Note 10 pro ningependa kupata muongozo...
0 Reactions
1 Replies
474 Views
wadau nahitaji msaada jinsi ya ku solve hii error! inatokea wakati wa installation ya pes 2017! Kwenye desktop window 10,64bit Spec za machine:ziko supportive
0 Reactions
3 Replies
354 Views
Tunajua kabisa password za akaunti mbalimbali ni siri .Lakini Kuna Watu Wanazigundua .Kuna Rafiki yangu mmoja akaunti yake ya facebook iliibiwa na hacker akapost picha mbaya kuchafua jina...
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Wakuu nimenunua hiyo mashine tajwa hapo juu kwakwel iko vizuri sana ila je inadumu hii ? Kwa waliowahi kununua na kutumia.
0 Reactions
8 Replies
565 Views
Watu wengi hawatofautishi discoveries na inventions. A sharp contrast exists between the two. Linganisha haya na ile list ya 10 inventions nilyotoa hapo awali. Life-Changing Science...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakubwa habari, by default kingamuz cha canal kinasoma Ethiopia nabadilishaje county? Je, nafanyaje kuweza kuona zile canal Sport 1, Sports 2, sport 3, Sports 4?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Simu hii imeandika rekodi ya kihistoria - kwa kuwa simu ya kwanza kuwa na uwezo wa Satellite (kabla ya iPhone), ina kamera ya latest gen ya Huawei. Ukitazama hii promo, nenda kacheck promo ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s. Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s . China nao wamepanga 2040s kama urusi. Sasa sisi...
4 Reactions
70 Replies
2K Views
Habar wadau Hivi vitu viwili mm huwa sivielewi kabisa nilichogundua kuna kitu sikujui hapo ivo nikaona bora niulize ukienda kwenye mitandao km TTCL au SIMBANET nk wana internet za dedicated na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakulu najua humu hakuna kinachoshindikana mwenye kufahamu jinsi ya kufungua PAYPAL account na kulink direct na mitandao kama vile Tigopesa, Mpesa na Airtel anijuze.
1 Reactions
2 Replies
965 Views
Je naweza kupata vpn special for kai os Pia inawezekana kudownload operamini for kaios niweze kuingia insta web
0 Reactions
7 Replies
975 Views
Wakuu naombeni msaada. Simu yangu ni aina ya Aquos Zero 801SH. Mwanzoni sikujua tatizo linatokana na nini ila nilivyofanya uchunguzi binafsi nikagundua kuwa kila nikiingia telegram tu simu...
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Wakuu Habari Kuna Kaz Nafanya Ya Ku Test App Ila Inatakiwa Laptop Au Desktop Yenye Windows 10 64 Yenye ARM Processor. Kwa Wasiojua Ukienda Kwenye This PC, About Utakuta Sytem Type 64, ARM 64...
0 Reactions
2 Replies
412 Views
Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Karibu. Naitwa Musa Buzelengule . Ni Upwork Freelancer . Nina 300+ Earnings kwa Sasa . Naomba kujua ni changamoto zipi zinafanya watu wasipate kazi ya Kwanza?
1 Reactions
2 Replies
682 Views
Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom