OnePlus ilikuwa ni brand nzuri sana katika design, lakini kwa zaidi ya miaka mingi inabadili mwonekano wake kila muda na fans wake hawapendi kuona kila model ina design yake.
Mwaka jana katika...
HIZI NI GAMES LAZMA UCHEZE KWENYE PC YAKO (ENHANCED POST)
1 GTA V
LINK GTA V Free Download
OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1.
Processor: Intel Core i5...
Majuzi hapa kuna kitu nilikuwa nacheki review moja ya powerbank nikakuta ya kiswahili nikasema ngoja niangalie
Link yake hio hapo ..yani jamaa maswala ya tech hakuna kabisa kifupi anajarbu...
Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi.
Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza...
Mwenye kufahamu free VPN ya internet ambayo inaconnect vyema kupitia mtandao wa vodacom anisaidie kunijuza.
Itapendeza kama speed yake itakuwa ni kubwa bila kusahau band width yake
Msaada...
Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
Wakuu msaada kidogo hapa,,, nimenunua hii Simu S6 Ila nilijaribu kuweka line yangu haisomi.. tatizo nini wadau nashindwa kuelewa kabisa..
Simu hii ni Used, nadhan zinajulikana yaan zimetumika...
Habari wakuu je nafanyaje ili niweze kuangalia match live kwenye tv kwa kutumia internet ingawa tv yng sio smart tv ila hapa nilipo naangalizia kwenye simu tu mpira kwa kutumia app ya yacine tv...
Habari! Poleni kwa kazi
Naomba mnisaidie kuhusu unit za umeme.Je n hak kulipa 7000 kwa units 20? Nmetumia kwa muda wa mwez 1 na wiki kama 1.Mchana huwa cshind ghetto.
Natumia pas ya umeme kwa...
Wadau habari,
Naomba kujuzwa ni ipi Best Application nzuri kwenye simu yakudownload any mp3 music ziende direct kwenye simu nasio kubaki kwenye app
NB. Natumia Android phone
Ahsanteni
kama ulikuwa na file zako ghafla hazionekani tena na hauja zi delete.na pia ume show all folders bado hazionekani ni kwamba kuna virus wame yaficha hayo mafile .njia ntakayo onesha ina rudisha...
habarini wakuu kuna site inaitwa youtube-aq.xyz hawa jmaa wana lipa watu kwa ku watch ads video kweny site yao na ukijiunga unapewa bonus ya $25 lakn nmeingiwa na mashaka makubwa sana baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.