Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani nna tatizo na computer yangu nikiweka moderm ya airtel inazima,please msaada jamani!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Great thinkesr naomba kujua kama hacking ni kosa hapa Tz na ni kwa sheria ipi. Mbona kozi hizi zinafundishwa kwenye vyuo vingine nje ya nchi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nacheki used iPhone 4S kwa bei chee mazee. Ninashida nayo sana. Nicheki kwa 0759950757:happy:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
msaada kwa yoyote anayejua jinsi ya kubadili symbian operating system to window mobile,simu yangu ni nokia e71,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetumiwa iphone 4 na rafiki yangu,lakini tatizo ni kwamba haisomi laini za hapa nyumbani,kitu ambacho nilikifanya ni kureset all factory settings nikizani kuwa itasolve hilo tatizo,sasa baada ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tukiwa tunajiandaa kuingia katika mfumo wa digital hadi sasa sijapata jibu kipi ni bora kati ya kuwa na ving'amuzi vingi au bora nijiunge na Dstv. Maswali yangu sasa 1. Je nisubiri hadi tupate...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimekua nikitumia card ya CRDB kufanya shopping online, wakati ule ilikua VISA card na nilikua nimeilink na Paypal, ilipoisha muda wake hawa jamaa wakanipa card ingine lakini hii card mpya ni...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
wakuu naomba link za live tv.. Simu yangu ni Nokia N93 in 3G.. kwa sasa nina enjoy Aljazeera na Dstv mobile ambayo mpaka niweke voda na ina channel nne tu pamoja na tbc 1.. Anayefahamu chanels...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimenunua tv ina support ybbpr, sijui ni nini na inafanyee kazi? User manual haielezi chochote juu ya ybbpr
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NIMEPATA CD YENYE LECTURE YA FIZIKIA YA F2 NA F3. LAKINI SHIDA YAKE NI KWAMBA ILI UPATE UHONDO KAMILI INABIDI UIWEKE KTK COMPUTER, SWALI LANGU NI JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUIFANYA ILI HATA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
What is Tango? Tango is an entertaining, easy to use, free video calling service that connects people around the world with friends and family from wherever they are. Free video calls can be...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Wadau mwenye kujua dawa ya hili tatizo liwadhalilisha watu kwa kutuma picha chafu kwa marafiki kwa mtindo wa kutag!solution wakuu
0 Reactions
24 Replies
7K Views
The California SpaceX company has seen its unmanned Dragon cargo ship attach successfully to the International Space Station (ISS). Astronauts onboard the platform used its robotic arm to grasp...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nilipostiwa movie ya ngono ya rihana na m2 naemuheshimu nilipo kuwa siamini nikai click haikufunguka ,ghafla nikawa napata sms za watu wakisema nimewatag nikalog off,leo nimefungua nakuta siwwez...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HIVI INAWEZEKANA KUFANYA ILI? NATAKA NI-INSTALL WINDOWS XP YOYOTE KWENYE COMPUTER HALAFU KAMA INAWEZEKANA KUTUMIA UJANJA WOWOTE NIRUDISHE MAFAILI AMBAYO TAYARI YAKO INSTALLED NA NITENGENEZE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani habarini Ninatamani kuwa hacker na mtaalam wa computer lakini nilichelewa kuamua nisome nini nikajikuta nimeelekea kwingine nataka kujua kama nitaweza kujifunza hadi kuwa hacker nakama...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Marafiki Mambo Vipi?Natumia iphone 3g sasa Jana nili erase setting zote kwenye simu, Matokeo yake simu imegoma kuwaka kabisa inaishia kwenye log ya Apple tu, wapi naweza kupata fundi ambae anaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana IT,kwanza naomba niwaeleze tatizo lililo nipata,mwanzo computer yangu ilikua ipo kwenye DOMAIN nikaibadilisha kwenda kwenye usergroup iliniweze kushea baadhi ya vitu na computer...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Ninatumia dell latitude D620 nikitoa battry naona sehem ambayo chip inaweza kuingia naomba kujua matumizi yake na kama inaweza kuunganisha na internet pasipo kuwa na modem na kama inawezekana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mwenye kuweza kunisaidia hiyo key tafadhali nisaidie..nimeidownload nakuinstall ila ni trial for 30 days. Mubarikiwe sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom