wandugu naomba mwenye accounting packages yeyote naomba anisaidee hapa please na shida nayo kam huna cha kunisaidia naomba upite2 hata kama kuna site naweza kudownload unaweza nipa coz nimezunguka...
Asubuhi ya leo nilijaribu kutembelea site ya DailyTech nikakutana na hili kati ya haya makampuni ya "Samsung" pamoja na "Apple" kuhusu products zao.
Kuelewa zaidi juu ya hili fanya kubofya HAPA
hey guys nnatumia join air nikisearch network kuna mtandao unaitwa tritel hivi huu ni mtandao wa wapi lkn zaman nikiweka lain ya voda huu mtandao ulikua unapiga mzigo with roaming activated lakin...
habari zenu ndugu zangu wanajf!
Samahani wanajf kwa yeyote mwenye ujuzi na haya masuala ya satelite dishes, receiver na decoder nilikuwa naomba anishauri ipi ni bora na inauwezo wa kuonesha local...
Wakuu natumia printer aina ya hp laserjet P1566. Kuanzia jana imegoma kufanya kazi kila nikitaka kuprint inaniletea hiyo sms..scanner error..wadau kabla sijapeleka kwa fundi naombeni msaada wenuu...
The internet isn't a safe environment, hackers are monitoring passwords, cookies and browsing activities, which is why users need all the protection they can get. Privacy ( security ) software has...
Step 1: Download a copy of Undela for your Windows computer or laptop. The install process is super quick so you can get started right away.
Step 2: Open the app when the Installer is finished...
Za asubuhi wadau wa hapa ndani. Kwa mnaotumia line za voda kama mimi, naomba mnijuze bonus wanazotoa kwenye M_pesa na ile waliyotoa weekend inatumika saa ngapi? Sababu niko na bonus zote mbili...
My Nokia N81 imeharibika display,inawaka but haioneshi kitu...naomba kumpata fundi mzuri anaeweza kunisaidia kwa bei poa jamani...nipo Dar...naimiss sana simu yangu kwa intanet nzuri...
Wandugu heshima mbele, Naomba mwenye ufahamu tufahamishane ni wapi nitapa dashboard application ya hii modem ya vodafone kwa maana ya kuidownload., if it exists at all. Natanguliza shukrani.
Habari zenu wana-Jf. Keyboard ya laptop yangu inatatizo ambalo nimeshindwa kulirekebisha; aina ni Compaq. Keyboard yake ina vitufe vya namba ambavyo viko kwa mpangilio kama ule wa culculator kwa...
¼ shilingi kwa sekunde kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutoka Vodacom kwenda Vodacom
Punguzo la SMS la 45% hadi Tsh. 25 kwa SMS kwenda mtandao wowote Tanzania.
Kurambaza mitandao ya...
wadau nakwama, sometimes naagiziwa katika kusolve baadhi ya matatizo ya kimtandao naambiwa nicheki na tools za kwenye Fire fox, sasa nashindwa kujua nazipata wapi hiiyo option ya tools, msaada plz
Wadau kwenye ile icon ya volume pale chi kwenye icons nyingi nyigi, imewekewa ki "x" hvi, niki pint inaniambia,"The Audio Service is not running" naweza solve vipi hili tatizo wakuu?????????
Kwenye facebook page yangu, nilihama toka classic kwenda timeline page. Sasa hii timeline mimi sijaipenda, natamani nirudi huko nyuma, je nafanyeje?? naombeni msaada hapa wataalamu.
My laptop installed with two operating systems: Windows 7 home basic and Ubuntu Linux 11.04 fails to restart.
I tried to do the error check and get this message:
the file or directory...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.