Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mtaalum anayeweza kunisaidia nimesahau password ya kufungulia IBM ThinkPad T23, mwenye kuweza anisaidie ht kwa kuni- PM.
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Wadau compyuter ina reboot niki shutdown, tatizo linakua ni nini???????? kwenye tuta nimekwama please..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anafahamu maujanja ya kulog in multilple accounts(mfano nina account mbili za yahoo au mbili za facebook na ninataka kuzifungua zote kwa pamoja bila kulog out mojawapo) asaidie...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
ninasimu yangu aina ya iphone 4 alikuwa akitumia dada yangu alipokuwa anasoma huko nje ya nchi lakini baada ya kufika hapa Tanazania akiweka line inakataa inasema no simcard nifanyeje jamani ili...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Website ya Mpango wa taifa wa kudhitbiti UKIMWI imekuwa hacked by the unknown hacker, na kupelekea watumiaji wa mtandao huo kushindwa kupata taarifa mbali mbali. Mtandao huo umekuwa ukitumiwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, hii simu imenishinda kabisa kuunganisha na internet; natumia line ya voda, nimeingiza settings kama ifuatavyo lakini chali; Profile(account) name: voda tz Proxy sever...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Help? I have screwed up withe my IDEOS google phone and is now blocked.It needs SIMLOCK block unlock reset KEY.I have PIN number.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanaTECH wa JF,jamani modem yng inanizingua sana,ni universal,ilikuwa inawork vzuri tu ila kwa sasa mmmh sarakasi sana,network inaonekana na nimeirecharge but nikiconnect...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari za mida,naombeni kusaidiwa nini maana ya Wi Fi na inafanya kazi gani ktk simu plogram hiyo ninayo katika simu yangu ya Samsung Gallaxy 5830i ila sijajua matumizi yake.
0 Reactions
19 Replies
12K Views
Habari zenu wana JF jioni hii rafiki yangu kanunua tv yenye mgongo,sasa kutokana na serekali kubadili mfumo nadhani hizi tv hazitakiwi tena ila sina uhakika..wana jf naombeni kama kuna mtu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
unapenda kutumia homepage zaidi ya moja ktk Firefox? kama ndiohii ni trick utaweza kuiset Facebook, Google and YouTube as your homepages tumia maujanja haya kuiset Firefox to set multiple...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niaje? Dell Optiplex GX620 Ukiiwasha inawaka lakini inaonyesha rangi ya Orange huku hikifatiwa na beep inayo piga mara 3 na kwenye Screen haionyehi kitu chochote. Nilipo ifungua nikagundua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanaTECH wa JF,jamani modem yng inanizingua sana,ni universal,ilikuwa inawork vzuri tu ila kwa sasa mmmh sarakasi sana,network inaonekana na nimeirecharge but nikiconnect...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
vp hali zenu wadau?nimeinstall vmware ver 8 ktk windows 7 home premium kwa ajili ya kuimpliment concept za mcitp lakin tatizo nililokutana nalo ni workstation nyingne nikiziping from other machine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nime-download file ya.rar kwenye flash yangu ila nashindwa kui-run kwenye computer yangu naomba mnipe maujuzi wataalamu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hawa Nigeria ni Mabingwa sana kwa kuiba kwa kutumia internet Hacker na Scam angalieni Website yao hii kasheshe kweli. NIGERIAN BEST FORUM . NBF Welcome, Guest. Please login or register...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Dtop comment for a new technology brand in TZ with a global name. Include jina lako na Namba ya voda kwani MSHINDI ATAPATA 10,000 SENT VIA M-PESA
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Naomba kujua kuna madhara gani ya ku-format simu? Napata wasiwasi juu ya usalama wa downloaded applications na factory softwares. Naomba kuwakilisha.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
wakuu kwa wale wenye simu za samsung za kawaida, sometimes unaweza ukawa unataka kudownload application yenye ukubwa zaidi unaambiwa 'can't install, jar maximum reached'. sasa kuondoa hii kero...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba mnisaidie hili tatizo, mwanzoni kwenye laptop yangu ya COMPAQ Presario CQ50... Nilikua natumia window 7 ultimate.. Nikabadili window nikaweka windows Vista business. Baada ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom