Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu mashine yangu gateway M-6843 NIMEISTAL webcam usb driver 2.0 but amna kamera on screen nilistaal YOUCAM 5 ikaisha baada ya siku 15 yaani kuexpire sasa napata shida jinsi ya kutumia webcam...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Wadau naomba mwenye ujuzi na system ya EVB anijuze kidogo
0 Reactions
0 Replies
808 Views
guys kama mjuavyo voda wameachia ki2 kwa watumiaji wa nokia s60 3rd ambao wamezihack simu zao kuna operamin7.sis nimeiingizia hyo server ya bure ndani ili itumike bure.. cha kufanya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani kwa anayefahamu naomba Anisaidie: APN Access Namba User Name Password IP setting Kwa mitandao ya Tigo, vodacom na Zantel please.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari za jioni.Naombeni kufahamishwa brand gani ya external disk ni durable zaidi, na inapatikana around sh ngapi. I once had a terabyte of Western Digital, lakini nadhani ikapata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia Samsung galaxy mini. Tatizo ni kuwa, kuna baadhi ya pro softwares ambazo nimezidownload for free from other sites like pirate bay na black Mart zinakuwa blocked na Google play, saa au siku...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Poleni na majukumu wana JF Naombeni msaada web site gani nzuri na yenye mafanikio ambayo unaweza ukaandika propasal tofauti tofauti kama business loans nk na ukafanikiwa iwe ni web site ya nje au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau... Naomba mnisaidie kama kuna uwezekano wa kupata RegCure Pro licence key... aksanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wanajf, Naomba kujua ni software gani na nitaipataje ikiwa ni full version inayoweza kurecord skype conversation. Ningependa hiyo software iwe inauwezo wa kurun in the background...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale mnaopenda watoto wa geti kali, wake za watu ama waume za watu, ama kutoa ujumbe wowote ambao hutaki kuwa shahidi katika sms ulotuma. Just go to messaging(click) and go to flash sms, write...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
wenye huu ujuzi wananipatie mimi niona kama tv turner inarekodi hii kitu katika mfumo wa nalogia hvyo picha zinakuwa na chenga chenga sana tofauti na inavyoonesha je kuna njia mbadala nitashukuru
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naomba nielekezwe tatzo nini katka cm yangu inafail kufungua facebook. natumia mchna nokia n70. net kanafungua tena kwa kas saf, nik fungua najaza e-mail na p-word then nik log in cm inazma au...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
mwenye kujua jinsi ya kuconfig DNS kwenye fedora 16 anisaidie kwan inafika mahali nainstall bind inaonyesha kuwa imenstalled lakin nikija kuitafuta katika file system->etc siipati sasa nashindwa...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Kwa wale wataalm wa Aga na maswala ya Ndege.Naweza kujua kwa udani juu jisnsi gani ndege na vifaa vyake vya kielectronics vinavyoweza kusaidia ndege,kupaa,ikiwa agani na ikitua aridhini. tafadhili...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
It's been hailed an 'iPhone killer' and the 'best smartphone ever made' - so can the Samsung Galaxy S III live up to the hype? The keenly anticipated Samsung Galaxy S III The S III boasts a...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Naombeni user guide/manual ya SINGSUNG LCD TV.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BBC News - Two blind British men have electronic retinas fitted One day in this journey a future generation will look back and say "why did past generations wasted so much time praying?"
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nina shida ya kutengeneza list ya mashule na maeneo yalipo mfano: Maua Seminary KILIMANJARO MANOW LUTHERAN JUNIOR SEMINARY MBEYA Nimeipata hiyo detail kutoka necta lakini najua kuna...
0 Reactions
2 Replies
268 Views
jamani voda wamesha rudisha 0.facebook.com bt still our trick inazngua
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Wana jamvi nimecheza hii game hadi nimefika sehemu ambayo nahitaji kuvuta crank, instruction inanitaka kuhold R1 na L3 ili kuivuta hiyo crank, sasa ishu ni kufungua huo mlango ambapo unafunguka...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom