habari zenu wakuu. Naombeni mnisaidie..kuna mtu amenipa laptop yake nimsaidie mpya ya lenovo nimsaidie kuweka baadhi ya programs na kumake sure everything kiko sawa then nimrudishie..ile laptop...
Kesho usiku saa tatu discovery channel wataonesha jinsi makomandoo wa kimarekani walivyoingia nyumbani kwa Osama na kumuua.
Wadau nadhani ni vizuri kuicheki hii kitu.
HI WanaJF
I have being trying to customize my MS Access 2007 using XML codes and VBA by nimefail kulink form uliyo katika XML with VBA
This is may current situation;
Public Function...
If you visit a cyber cafe and find find any black pin attached to the CPU as shown in the picture, do not use that system. This pin is actually a connection which saves all your data you enter...
Akhsalaam aleiko wakuu wa jamvi hili. Nina tatizo la kufungua page yangu ya e-mail (Yahoo Mail). Kama muda wa wiki mbili au zaidi najaribu ku-sign in lakini napewa message kwamba eti kuna server...
naanzisha hii thread kutokana na ahadi niliyoitoa hapo chini -
Hiyo SPB shell umeipataje? Nipe maujanja maana kwenye Android market au Google play inauzwa Usd 14 na ushee.
kuna app inaitwa...
Wadau ni duka gani kwa DSM naweza kupata plasma ama smart TV za kuanzia 40 to 55 inches (Samsung, LG ama Sony), nipo nje ya nchi wataalam wa Dar naomba msaada ili nisihangaike kununua huku kama...
Game kuna jamaa ameinstall vizuri sana,tatizo nikiifungua Game yenyewe harafu nikaclick PLAY inagoma yenyewe inadai "wrong disc inserted. Please insert the original Pro Evolution Soccer 2012"...
Adobe has announced the immediate availability of Creative Suite 6 software, which includes the new releases of Photoshop, InDesign, lllustrator, Dreamweaver, Adobe Premiere Pro, After Effects...
AVG offers a Do Not Track feature that lets you articulate your decision not to be tracked by some websites, applications and advertising networks.
AVG Do Not Track helps you identify websites...
Wakuu tatizo langu ni Blackberry Playbook yangu haingii charge kabisa. Mimi huwa natumia charger ya smart phone ya Blackberry, na pia nimejaribu kucharge kupitia computer (usb) pia sikufanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.