Nimebaini leo asubuhi kwamba web application ya TCU imekua hacked ... aibu kubwa. Jaribu kutembelea cas.tcu.go.tz kujionea. Jamani kama kuna wataalamu wa IT wa TCU humu watoke waende wakarekebishe...
Hello guys, i need your ideas on how to trouble shoot the computer when it not starting & also give the source why it not starting while all power cables are active?
kwa wasiojua ftp inamaanisha file transfer protocal ni nzuri kwa kudownload tofaut na http hizo hapo chini ni link za ftp zenye magame mengi sana na zina advantage kama hizi
-hamna kuwait...
Wadau ninaomba msaada kwani kuna Office ya Clearing and Fowarding natoa support kwa kazi za IT kuna program ya kukuwezesha kuconect na TRA sasa nataka kujua kama kuna software ambayo naweza kuweka...
habar zenu wanajamvi, nauza simu yangu aina ya samsung, model C3303K touch-screen. Bado ni mpya, chaji kwa matumiz ya kawaida ni siku 4-5, na bei ni 90,000, kuna mazungumzo
Makamba
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, January Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli, alisema moja ya mambo ya kufanya katika wizara hiyo ni...
jamani wale wanopenda kuumiza kichwa, hivi kuchakachua hizi mazaga ya startimes nipate channel kwa bei nafuuu inawezekana kweli, nipenijibu kama inawezekana nianze kazi ya kuumiza kichwa.
:spy::spy:
nafahamu mnajua application nyingi za kuchat kwa simu ila i think hii ni nzuri kwa watu wa simu ambazo sio smartphone na wanataka kuchat at the same time kubrowse kutumia njia hii
Kwanza uwe...
tukiwa njiani tunaelekea kusini mwa tanzania maeneno ya moro ndani ya range rover hii mara ikapata pancha tairi ya nyuma (mzinga) na gari ikazima hapo hapo....tumefix tairi bau gari haiwaki...
Wana Tech Nina Huawei Ideos U8150-D natumia Airtel, tatizo nikua Web browsers hazipigi mzigo inayo kubali ni opera mini, yaani Opera mobile 12 na UC browser zinagoma af opera mobile inasema...
Ukiwa kama mdau muhimu wa mabadliko katika teknolojia, naomba utembelee www.wilguy-jibebe.blogspot.com, na utoe maoni yako. Maoni yako ni muhimu sana, na yatatumika kujenga MUSTABALI WETU.
Habari zenu Wakubwa. Naomba msaada kwa wataalamu. Vipi naweza ku download You tube video katika simu Nokia C1-01. Ikiwa inawezekana, jee nipitie hatua gani? Thanks.
Light from an alien "super-Earth" twice the size of our own Earth has been detected by a NASA space telescope for the first time in what astronomers are calling a historic achievement.
NASA's...
OK bado niko katika marekebisho ya hapa na pale so narusha now mpaka saa kumi kama testing then ikiwa bomba kabisa muda huo wote, nitatoa schedule masaa yapi na yapi nitakuwa narusha LIVE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.