Salaam wanajukwaa....juzi juzi hapa wireless adapter yangu imeanza kugoma ku-connect internet, its like ina-detect signals but cant connect to the internet, but niki-switch to ubuntu nakuwa...
UPDATE V15
iPhone 4 UNLOCKER
Features of version 15
- Unlock all iPhone 4 basebands, including latest iOS 5.1 with baseband 4.12
- No SAM required, No Jailbreak required, No Codes required
-...
Wakuu laptop yangu jioni hii baada ya kuizima bila tatizo lolote mchana,nimerudi nataka kuwasha inagoma/inashindwa kuwaka-inatoa blue screen then inaji-restart yenyewe-kila kushindwa kuwaka kabisa...
Jamani kwawale wataalam wa it naomba msaada niweze kujua jinsi nitakavyo weza kupata hii series ya nikita bure kwenye net naitamani sana na siwezi kusubiri cd za kichina nina gb zakutosha lakini...
hellow fellaz,,, nina pc hapa ambayo nikiweka kwenye charge inareceive power na taa yake inawaka,, nikiwasha inawaka taa ya on tuu na fans vibrations zinasikika,, sasa tatizo ni kwamba ile screen...
Ukiwa unaweka software Yako kwenye Simu alafu inakuambia "expired certificate"
nenda kwenye "date settings" kwenye simu yako then Badilisha mwaka mmoja kurudi nyuma kama ni 2012 jaribu 2011 then...
Computer geeks i really nid ur xpertise, natumia window 7 ultimate kila nikizima PC na kuwasha cursor inastak mpaka nirestat ndo inapiga mzigo...nini tatizo?
Hii ni kwa wale wanaotumia proxy ya Voda.
Download movies with great speed and resume support
Note
Use the same proxy and port both in browser and idm...
Niaje wakubwa, nina nokia n900, kuna jamaa kaingiza password alaf kazisahau, nimejarib kumpelekea fund ili kuformat nimeambiwa kwamba sehemu ya cable imekufa, Je kuna master code zozote ambazo...
Nimejaribu kukomaa nimepata hii hapa Site.
Index of /Aria/Games/PC/
Ni vizuri huitumie na US web proxy kama proxy server lakini ukitumia Proxy ya hii site ambayo ni 199.21.149.177:80 utakosa...
Jamani nahitaji msaada wa ku-upgrade samsung galaxy s yenye os android 2.2 to 2.3 and above nimejaribu kutumia samsung kies lakini imegoma.msaada tafadhali...
wadau sijui kwenu, ila kwangu ngoma inagoma kutumia proxy tatizo hili limeanza saa tatu asubuhi leo tarehe 27 mwezi wa nne 2012. nahisi jamaa sijui ndo amepata muarobaini? coz nikiweka hella...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.