Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
heshima yenu wakuu! kuuliza co ujinga. naomba kujuzwa ni kwa nini namba zingine za cm za nje ya nchi zina tarakimu (digits)11 na nyingini zina 12 tofauti na hapa kwetu tanzania zote zina tarakimu...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Posted on April 25, 2012 by www.mzalendo.net Kamishna Ali Abadalla kushoto akiangalia kifaa kipya cha kuzimia moto kijulikanacho kama DSPA 5 kutoka kwa askari wa kikosi cha Zima Moto na Uokozi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
At just 22 years, Abdu Ssekalala’s appearance is that of an ordinary student, but looks can be deceptive. The young man, is no ordinary student, while his colleagues await to celebrate sitting...
2 Reactions
0 Replies
831 Views
Wakuu natumia Blackberry curve, kwa siku huwa inajirestart mara moja au mara mbili.... Tatizo linakuwa ni nini?? Na nitawezaje ku solve? Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
910 Views
Salamu wana Jf Naomba mnisaidie keys kwa ajili ya dreamweaver 8 Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
878 Views
nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu. hivi mitandao kama gmail, yahoomail, youtube na mengineyo wanalinda vipi taarifa zao maaana kuna wapinzani wao wa kibiashara wanaweza kwa makusudi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
yaaani imekuwa tabu sana kwangu leo kusoma huku chuo na hela sina watu wangu niokoeni hata na maujanja mengine bhana hata ya mtandao wowote, ila VODACOM nahisi humu ndani wapo na ndio wamezuia...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
kwa anaefahamu, aina ni B2 INDIA, COMMUTER, ingine yake ni 125cc...
0 Reactions
11 Replies
17K Views
njia nzuri ni kutumia proxifaya ya latest version ambayo ni 3.15
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu naomba msaana nitawezaje kudownload movies kwenye torrent kwa kutumia hizi free proxy za voda internet.naomben msaada.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana Jf mimi natumia window 7, wakati unazima computer kuna option mbili unapewa ya Sleep au Hibernate.. Naomba kujua kuna tofauti gani kati ya hizi mbili na zinatumikaje??
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Wakuu kuna mtu aliniomba nimpe facebook id yangu ili aweze kuni add, nikampa jina ninalotumia...akaniambia kuwa hiyo sio facebook id, sasa nauliza hivi facebook id ni nini hasa, na ninaipataje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninatumia ttcl broadband na nina gb za kutosha nahitaji ku download series ya NIKITA bure na sijui niitoe wapi na nitaichukuaje huko naombeni msaada plz
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Nataka niweke adsense code kwenye site yangu. Code nshapewa tatizo nikiweka hamna kinachotokea najua matangazo kuappear mpaka application iwe approved lakini hata blank ads hazitokei. Msaada please...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
May Day is coming. New register members can gain 80 bonus points at Exampdf, which will last for 5 days.
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Unaweza kuangalia game online kupitia FirstRow Free Live Sports Streams on your PC, Live Football Stream, Myp2p, Live MLB, Live NBA, Live NHL and more... chagua link upate uhondo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama swali lilivyo wadau
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Naomba kujua vipi naweza kutuma file lenye sauti ambalo nimesave ktk pc yangu kwenda Jf.... Nimetumia option ya ku insert attachment nimechemka.....msaada wenu pls
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa hicho kitufe hapo juu kiko unapoandika ujumbe jf, kina kazi gani na kinatumikaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau ebu niambieni ipi ni recorder nzuri ambayo unayoitumia kurecord online radio,nimejaribu kusearch kwenye gugo nimedownload kama mbili hivi na nikatest lakini sound ipo chini sana hata...
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Back
Top Bottom