Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
ICT KNOWLEDGE: Maelekezo: 1.Zima computer yako kisha iwashe 2.Kabla haijaleta login screen bonyeza function key namba nane yani F8. 3.Chagua boot in safe mode kisha itajifanya inataka password...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Najua Airtel mnapita pita humu, naomba ufafanuzi wa malipo kwa mfumo wa Time Based Bundle. Kwa mfano, ikiwa nitaweka bundle ya Tsh 10000/= nitatumia unlimited au ikifikia muda fulani itaanza...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Buy for 30,000 Tsh and get free Internet for 6months. visit any airtel shop now. mimi nimethibitisha hilo ninayo na Iko Poa Kabisa Wakuu wa JF :):glasses-nerdy:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nimeambiwa kuna nyaya za kuboost battery ndogo kama ime collapse (eg. Psp battery) ila cna uhakika!!! Kama kuna yeyote anayefaham naomba anijuze
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Jamani waungwana nilikua na download nyimbo kutoka tubidy nilivyomaliza nikataka kuplay zikagoma nyimbo wote na video wote haziplay kbs. Hata ringtone imebadilika na kuwa ya tones ambazo ziko...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
wana jf,naomba msaada kwa m2 mwenye software yenye kurudisha data katika HD,fLASH N.K,PIA WEBCAM YA DELL N4050(WINDOW 7)naomba anisaidie,natanguliza shukrani
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada nahitaji ku download Call of duty: Black ops ya PC. Wataalam wa mambo haya naombeni msaada wenu, tafadhali.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wadau? Je wajua wapo wapi?Ntashukuru mkinijuza. . Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa naomba kueleweshwa na ikiwezekana kusaidiwa juu ya hili la OBD 2.Kuna mafundi wanatumia laptop kufanya diagnosis kwenye magari baada ya kutumia zile diagnosis scan tools. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Habari za shuguli wadau, nina shida ya final cut pro software any recent version, kuna mdau yeyote anaweza nisaidia tafadhali?:smile:
0 Reactions
3 Replies
784 Views
NILIKUWA NAOMBENI Proxy ambayo inaResume kwenye kudownload
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nawasilisha wana jamvi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakati watumiaji wa Airtel modem tukiwa ktk janga la kushuka kwa speed yake toka HSPDA hadi EDGE , huku wao wakitangaza kuwa wana speed kali ya 3,75 g na sasa wametoa/wanatangaza kama wanajf...
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Nilikua naonba msaada nifanye ufundi gani simu yangu iwake? aina Blackberry curve 8520 nilikua naingiziwa app na kwa kutumia comp na cm km yangu kwa kuhamishia ma file, mara nikadisconnect bila...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
kuna watu kadhaa waliwahi kuniuliza njia ya ku BROWSE jf kwa kutumia cproxy. nahisi leo nimepata solutions yake. na hii sio JF TU pia secure sites zile ulizoshindwa kuingia kwa cproxy kwa njia hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
How to convert NTFS to FAT32 without data losing? Many people ask me the same questions – how to convert FAT32 partition to NTFS, meanwhile, some people want to convert NTFS to FAT32 without...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamanai nataka kwenda kusoma kati ya it na computer science ipi ina lipa zaidi au ina good demand ya job naomba msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
how to convert psd website layout to html/css website layout?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asalaam alyekhuma! nimeletewa zawadi ya simu ya Alcatel majuzi kutoka Dubai, mara baada ya kuichaji na kuweka line ndipo nikakutana na message inayonitaka niweke Network Key, hivyo nashindwa...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Flash imepata virus na vimebambwa na avast antivirus.Nimeulizwa viende kwenye chest nami nikajibu ndiyo.Je nitaweza kuyapata haya mafaili tena na kwa njia gani?
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Back
Top Bottom