WanaJF, nimenunua leo simu hii kwa machinga, brand new. Tatizo hakuwa na Manual. Alikuwa na charger na earphones tu. Sijawahi kutumia smartphones before. Nimeshindwa kupata Manual yake kwenye...
adau nime format computer moja kati ya kadhaa zilizo kwenye network, cha ajabu baada ya hapo naweza kuingia web ya gmail na google tu mnaweza saidia hapa???
Wakuu naombeni msaada , PSP angu ilikwisha chaj na nilipoiweka kwenye chaji hakuna mabadiliko yoyote !! Na asbuh ake majuz nliichaji na ikakubal ila jion ilgoma
Wakuu nadahni Tittle imejitosheleza .Nimjadala.Kipi kigumu au kipi ni rahisi.
Nakaribisha mawazo , maoni yenu huku tukielezananakutoa sababu za hoja zetu
Karibuni
Wakuu, poleni na majukumu ya kujenga taifa. simu yangu nokia n8 orijino imezima ghafla na haitaki kuwaka wala haingizi tena chaji! naombeni msaada wenu namna kuiwasha.
Wakuu nimetengeneza cv ambayo nimeunganisha na vyeti na imenipa 17mb, hii inanipa shida kuapply kwani sehemu nyingi wanataka document ambazo hazijazidi 2mb....naomba msaada kama kuna software ya...
Kati ya hizi Symbian OS, Android OS, BlackBerry OS na Window mobile
wadau naomba mwenye ujuzi na hili naomba anielimishe ikizingatiwa kuwa
hapa ni HOME OF THE GREAT THINKER natanguliza shukurani.
wakuu, hii player ni nzuri sana ina rich features nyingi ni kikubwa ni kwamba unaweza kupata subtitle ya muvi yeyote unayoichek hata kama sio ya kingereza. hapa naangalia muvi a kijapan inaitwa...
Kufuatia lile tangazo lao la Banjuka na TTCL nime nunua Modem pamoja na kununua vocha ya sh 50.000 , sikwenda na laptop yangu, walicho kifanya ni kuni ingizia vocha , na kujaribu kuhakikisha...
Wakuu naomba tupeane taarifa ni CMS (Content management System) kwa mazingira , taaisis au tovuti fulani fulani.
Mfano naanza
Wordpress- WordPress › Free WordPress Themes Inafaa kwa...
Nina Daewoo International DHT-002 DVD HOME THEATER SYSTEM, hivi karibuni imeungua kwa sababu ya mvua iliyoambatana na radi. Japokuwa ilikuwa off lakin ilikuwa connected kwenye main na huenda ndio...
Nisaidieni natumia moderm ya VODACOM zile za toleo la kwanza, na computer yangu ni Dell na window 7, nataka nitumie pia kwa airtel na tigo, nilikuwa naweza kutumia nilipokuwa natumia window XP...
Time Zone Converter
From the website above you can easily do time conversion.
This reminds me of my form 2 or form 3 if I am not mistaken on geography when such questions were being raised.
Guy's I have been having trouble on how to link a website with a database.I hope I came to right channel. I have been trying for a couple of days without success,I do hope for best from you guys.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.