Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu wa Jf naitaji softwire ya generetor aina ya OLYMPIAN kama mtu yoyote ambae ataweza kuniuzia naomba anicheck kwa number 0688 282403
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Nani anayezijua hizo mambo za kuhack ndugu tujuzane mi natafuta hizo mambo. thanks :)
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Mambovipi wa kubwa ebwana nina tatizo hapa kidogo kwenye my twitter Account leo siku ya tatu nihivi niki sign in kwenye simy yangu LG KP500 Aifunguki nakuta na msg hii hapa Something is...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Habari wakuu! Kuanzia leo mchana nikijaribu kucharge inasema USB hub connectde not charging! Check usb port etc note: nimejaribu kubadilisha various usb ports na sources,ata charger zakawaida...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
mambo zenu i want to share this trick kwa watumiaji wa simu ambao ni wavivu wa kutumia proxy kuna kitu kinaitwa real host kinamuwezesha mtumiaji kutumia net ya bure kama kuna acses ya free...
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada kwa simu hii. Tatizo ni; Ukiongea kwenye simu au ukisikiliza muziki / radio inakata na kutoa mwanga mweupe kila baada ya dakika 1 au 90secs. Kisha inarudia hali ya kawaida...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
wadau naombeni msaada wenu kama kuna yeyote anayefahamu ni wapi au namnagani naweza kupata kitabu kinachoitwa "Teach yourself Qt Programming in 24 hours" free? shukrani wadau.:)
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Msaada jamani wana JF E-mail yangu ya hotmail kila ninapotaka kufungua inaniambia imefungwa kuna procedure wanazitoa za ku-unblock kila nikizijaribu nakwama,kuna yeyote mwenye idea nifanye nini...
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Nimekuwa Mbeya kwa muda wa miezi miwili sasa. Modem za vodacom zinasumbua sana, connection ni tatizo na hata iki connect inakuwa slow sana mpaka inachosha. Tatizo jingine unaweza kununua vodabomba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kam kawa ndugu zangu..kuna apps moja hapa ni kali acha..unaweza ukaji2mia sms yeyote na ku in sert namb ya rafki yako..xo sms itaji2ma ktk inbox yko na itaonyesha imetumwa kutoka kwa m2 uliye...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana Jf naomba kujuzwa tofauti ya hizo antivirus nataka kwenda kununua kwa ajili ya laptop yangu na pia aina ipi ni nzuri
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo huku mkoani Nilinunua lnb na decoder mwanzo viliungua na radi ila katika Channel ya TBC radio zipo mbili tu tbc fm na taifa clouds haipo je njia gani nitumie kuiadd hii clouds?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yap 2 whole weeks for free Zantel UNLIMITED download woow!!! In one week I download like 20GB so.. 2 weeks u can even download 50GB its up to you... All you gat to do is win My Competition and you...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau tafadhali naomba mnisaidie, kuna bwana mmoja kaniletea ipad anadai ni hii mpya(iliyorelease-wa Oct 2011) naombeni mnisaidie kwamba nitatofautishaje kati ya iPad 1, iPad 2 na hiyo iPad 3...
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Msaada wenu tafadhali kila napofungua website ya FACEBOOK inajifungua Camolist.com. Nifanye nn wadau nashindwa access FB.:help:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba msaada hapa,Natumia Nokia X2-01 sasa nikitaka ku download inaenda mpaka file husika na kunihitaji nichague folder la ku save file hlo bt mwisho wa siku napata msg hz Error and Error...
0 Reactions
3 Replies
966 Views
Nahitaji Simu ya aina Samsung Galaxy Note ambayo ni locked..If any is able to get t i would so much appreciate t SANA YANI!!...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumia blackberry bold, juzi imebadilika screen imekuwa nyeupe na kisaa kinatokea katikati, now inawaka na kuzimika, haikubali kuconnect kwenye pc, hata cjui tatizo nini, anayejua anihelp
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanzo nilikuwa ninatumia internet ya tigo kwenye simu yangu nokia 3110 bila matatizo ila nikapoteza sim kad hiyo na kununua nyingne, ila hii mpya nikitaka kuingia net inaniambia 'Packet data...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom